Hili la walimu kuchangishwa michango ya Mbio za Mwenge kwa lazima likomeshwe

Huu bado ni unyonyaji wa kikoloni, mimi siwezi toa, bora hiyo buku 5, nikanunue mchele na maharage, nipige UBWABWA "Hashim Rungwe Spunda"
 
Rais wa CWT, Leah Ulaya huyu dada wa kinyamwezi namjua sana alikua mpole na mnyenyekevu kumbe naye ana ukenge hivi, duh!
 
Kwani jamani hamjui kama walimu ni punching bag ya serikali ya CCM? Kwani umewasikia walimu wenyewe wanalalamika?
 
Acha kubweka wewe mpumbavu unajua nguvu aliyokuwa nayo mkuu wa idara, Das na DED WEWE ? unajua weakness iliyopo kwenye idara ya elimu wewe unaongea ypumbavu ukiwa einza? Hujui lolote kuhusu halmashauri mpumbavu wewe.
Moderators hamuoni hamuoni haya matusi? Kwani BAN ipo kwa wachache tu?
 
Nondo hajui ajisemacho graduate fresh from shule anaongea ujinga kuhusu watumishi wa umma hasa walimu? Ulishawahi kuwa huko? Embu waachen8 hawa watunq ptia mengi. Nundo hujui unaongea kutolaagazetini.
Shida unabweka tu lakini sijaona hoja yako hata moja yenye mantiki.
 
Una akili sana mkuu
 
Yaani nchi hii kuna mambo ya ajabu sana. Walimu nao wapo kimya kwasababu wanatumiwa kama toilet paper.
Nani awasemee walimu, au wakasemewe wapi? Sehem gani mwalimu wa nchi hii walimu wanasikilizwa? Nani boss wa mwalim?

Nchi hii mwalim hana mahali pakupeleka malalamiko yeyote

Mwalimu anadharauliwa na mtu kuanzia mwanafunzi mwenyewe, mzazi, jamii na kila mtu.

Sekta ya elimu kwasasa ndio sekta yatima zaidi

Kosa dogo atakalofanya mwalimu litatangazwa nchi nzima

Shule za private kuna walimu wa degree wanalipwa hadi laki 2 na kazi anafanya kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne usiku anasimamia prepo na kuna sometimes prepo pia ina ratiba ya vipindi ili kumaliza mada mapema,

Walimu ,walimu walimu walimu, walimu wa nchi hii

Nasema hivi

KWAKUWA SEKTA YA UALIMU IMEDHARAILIWA KWA KIASI HIKI ANGALIENI KWA SASA PRODUCT ZINAZOTOKA SHULE KWA SASA, mwalimu amekuwa sio mlezi tena bali kila mtu afe kivyake na mtoto wake.
 
niliwahi goma kutoa 5k ya mwenge nikakosa zaidi ya 500k kubaniwa kulifua na hauna Cha kufanya.
Mwaka uliofuata nikatoa.
Dawa ya huko kubaniwa, ni kuhakikisha una shughuli zako za kukuingizia kipato nje ya mshahara. Ukifanya hivyo, hiyo laki 5 yao ya manyanyaso, haiwezi kukuuma kamwe.
 
Naomba anae fahamu faida ya mwenge kuzungushwa nchini anieleze
Hii nchi inaa mambo mengi sana ya kipuuzi. Huo mwenge hauna faida yoyote ile kwenye hii dunia ya sasa. Hauna chochote cha kumulika, sijui kuleta matumaini, na bla bla nyingine.

Ni moja tu ya vitu vinavyotumiwa na watawala kuchezea kodi zetu.
 
Mpwayungu village ndipo anapojiokoteaga point kwenye mambo haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…