Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Natamani ndevu zangu nizitengeneze mazingira haya aiseee
 

Mmechelewa kujua Mkuu ni kitu kinafanyika muda mrefu


Binafsi mwaka wa tano huu nafanya wax na hakuna athari zozote
 
Hallelujah!!
 
Tunaiga wazungu. Kila anachofanya mzungu Kwetu sawa tu. Wengi wetu hatujui kama asillimia kubwa ya hawa wazungu ni mashetani watu.
 
Je, vipi kuhusu side effetcs??
Side effect ni kwamba unaweza kupata pimples au skin irritation maaneo uliyofanyiwa. Ndio maana inabidi ufanyiwe na mtaalam kwanza uone inavyotakiwa kufanywa kisha baadae ndio unaweza kuanza kufanya mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…