Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Ya nta unafanyaje
 

Una moyo mimi hiyo ya nta ambayo ubandui na kitambaa siwezi hata kwa hela inauma mnooo.

Hiyo ya kupaka halafu unaibandua na zile karatasi zake ile naona haiumi dakika 20 tu kamaliza
 
Kumbe Bongo kama Ulaya tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aise nikifika hapo pa kutoota kabisa mbona nitashukuru
 
My dear, kweli uende saluni ukachanue miguu unyolewe?

My Dear kiukweli mimi naweza nisiwe muongo, ni huduma kama huduma zingine.

Kikubwa uwe na mtu mmoja anaekufanyia na awe msafi kwa maana kuvaa gloves N.k nowdays naona imeingiliwa kila mtu anatoa hiyo huduma.

Halafu wanawake wengi wanafanya ndiyo maana sehemu zinazotoa hii huduma zinazidi kuwa nyingi.

Na ukianza hautoacha!!
 
Daaah aisee mimi siwezi na ninaona ajabu sana
 
una moyo mimi hiyo ya nta ambayo ubandui na kitambaa siwezi hata kwa hela inauma mnooo.

hiyo ya kupaka halafu unaibandua na zile karatasi zake ile naona haiumi dakika 20 tu kamaliza
Hiyo wax special sijawahi fanya ila nitafanya siku moja.
 
Wewe muoga mbona haiumi [emoji3] sema ukizoea wax hautorudi kwenye maviwembe tenaaa
Maviwembe na hizi shaving creams nishaachaga huko siku nyingi sana. Sitamani hata.

Mimi naona inauma tofauti na nikifanya ya vinyweleo. Nikiwa naanza nilifanya ya kwapa.

Hehehe kwapa lilikuwa linatiririsha jasho kama bomba kwa kuogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…