Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Mimi ambazo zimekufa kabisa ni vinyweleo vya mikononi na miguuni(maana nilikuwa na mavinyweleo hadi vikawa vinanikera) na hizi zinazopanda kama tumboni hivi (wenyewe wanaita love garden) na hizi za bikin line nimezi dhibiti kabisa hazioti tena.

Kwapa na pengine bado, ila zikiota zinaota lainii kama vinyweleo vile yaani kama vile ndio mtu anaanza kuvunja ungo[emoji23][emoji23].

Nafanya mwenyewe sasa hivi maana nishakuwa fundi.
Kwanin lakin mnatoa hivyo vinyweleo wengine ndio ugonjwa wetu[emoji86][emoji86]
 
kufanyiwa wax ni mojawapo ya huduma, kuna watu wanaenda kabisa kusomea hivi vitu.
Mimi Nachukulia ni mojawapo ya huduma ni kama ningeenda hosp n.k
Ni kweli ni huduma lakini hatuwezi kuilinganisha na huduma za kitabibu, hii huduma sio muhimu haina lengo la kuokoa uhai badala yake ni kustarehe kwa mgongo wa kufanyiwa unadhifu.

Hospital inakuwa na lengo la kuokoa uhai wa mtu, na uko radhi uhudumiwe na daktari wa kike au kiume ili kukidhi lengo la kuokoa maisha.

Hii ni tofauti na Waxing ambapo umesema inafanywa na Wanawake tu(nyuma ya pazia mimi sijui)
Kwangu mimi haina shida, narudia tena kuna vitu unafanya mimi naweza kuvishangaa sana na kutovifanya , ndiyo maisha yalivyo!!

Tuishi tu humu humu.

Nakuuliza tena:

Kwa mtoto wako wa kike aliyepevuka ambaye bado yupo chini ya himaya yako, unaweza kumruhusu awe anapata hii huduma ya Waxing?
 
I don't see anything wrong with this technology, it is the same as applying magic to remove your hair. Similarity I don't see anything wrong exposing your genital parts to the person serving you if it does not end up jig-jigging.
 
Unajua mm ni mtu mwenye ndevu nyingi ss huwa nanyoa style ya O ss huku kwenye mashavu kunakuwa kaweusi fulani hivi so naona nikiwa nafanya hii wax tena ikiwezekana hio ya kienyeji itanifaa zaid,kama hutojali tunaweza kuongea pm
Kila la kheri upm muni
 
Kwanin lakin mnatoa hivyo vinyweleo wengine ndio ugonjwa wetu[emoji86][emoji86]
Kitabibu mwanamke hapaswi kuwa na vinyweleo vingi. Na ukiona kuna vinyweleo vingi na vinakuwa kwa speed hapo kuna tatizo la kiafya.

Mimi nilikuwa na vinyweleo kidogo ambapo you cant spot them hata ukiwa karibu na mimi ila suddenly vikaamza kurefuka na kuwa vingi kama vya mwanaume yani unaviona hata kwenye picha.

Nilienda hospital nikagundulika nina ovarian cysts. Na moja ya dalili zake ni excess or growth of hair kwa mwanamke au wakati mwingine ni kupotea kwa nywele. Umenielewa?

Sasa na hospital hata ukitibu tatizo bado nywele haziwezi kuondoka on its own wanakushauri ufanye kuzinyoa au wax au veet nk. Kwahiyo kitendo cha kwamba vile vinyweleo vilitokana na tatizo la kiafya tayari vilishanikera nikaamua ku gt rid of them for good.
 
Ni kweli ni huduma lakini hatuwezi kuilinganisha na huduma za kitabibu, hii huduma sio muhimu haina lengo la kuokoa uhai badala yake ni kustarehe kwa mgongo wa kufanyiwa unadhifu.

Hospital inakuwa na lengo la kuokoa uhai wa mtu, na uko radhi uhudumiwe na daktari wa kike au kiume ili kukidhi lengo la kuokoa maisha.

Hii ni tofauti na Waxing ambapo umesema inafanywa na Wanawake tu(nyuma ya pazia mimi sijui)

Tuishi tu humu humu.

Nakuuliza tena:

Kwa mtoto wako wa kike aliyepevuka ambaye bado yupo chini ya himaya yako, unaweza kumruhusu awe anapata hii huduma ya Waxing?
Sio huduma muhimu kwako wewe, ila kwangu mimi ni huduma muhimu.
Mkuu tuishie hapa huwa sipendi kwenye majadiliano yoyote mtu aingize watoto wangu, sijui kwanini huwa sipendi.
 
Kitabibu mwanamke hapaswi kuwa na vinyweleo vingi. Na ukiona kuna vinyweleo vingi na vinakuwa kwa speed hapo kuna tatizo la kiafya.

Mimi nilikuwa na vinyweleo kidogo ambapo you cant spot them hata ukiwa karibu na mimi ila suddenly vikaamza kurefuka na kuwa vingi kama vya mwanaume yani unaviona hata kwenye picha.

Nilienda hospital nikagundulika nina ovarian cysts. Na moja ya dalili zake ni excess or growth of hair kwa mwanamke au wakati mwingine ni kupotea kwa nywele. Umenielewa?

Sasa na hospital hata ukitibu tatizo bado nywele haziwezi kuondoka on its own wanakushauri ufanye kuzinyoa au wax au veet nk. Kwahiyo kitendo cha kwamba vile vinyweleo vilitokana na tatizo la kiafya tayari vilishanikera nikaamua ku gt rid of them for good.
vinyweleo vilitokana na tatizo la kiafya tayari vilishanikera nikaamua ku gt rid of them for good.
how?
 
Bongo watu wanaoshwa mpaka mk.n.u kwa kujitia wakishua kumbe upuusi huo hata ulaya hamna , majitu yanaiga ubwege sana
 
How? Umenisoma kweli?
Yes, nilivyokuelewa ni kwamba utakuwa ulitumia kitu cha kuondoa nywele zisiote tena/kamwe, ndio nikauliza ni njia gani? kwa sababu nahisi ukitumia wax baadae zinaota tena
 
Vinakera hata mkienda beach akivaa nguo za kuogelea zile vinywele vinaonekana pembeni
Sasa kumbe wewe umenielewa. Ningekuwa naweza ningepost picha yake hapa tukiwa swimming last week na vinyweleo vyake mikononi na juu ya kitovu. Sipendi
 
Yes, nilivyokuelewa ni kwamba utakuwa ulitumia kitu cha kuondoa nywele zisiote tena/kamwe, ndio nikauliza ni njia gani? kwa sababu nahisi ukitumia wax baadae zinaota tena
Sawa ukirudia rudia kufanya wax unaua root za nywele inafika mahali hazioti tena.
 
Back
Top Bottom