Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Nakazia hapa.Kitu kikishaingia ukipinga lazima uonekane mshamba,ila siungi mkono hoja ya kunyolewa huko na mtu mwingine zaidi ya mke/mume wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapa.Kitu kikishaingia ukipinga lazima uonekane mshamba,ila siungi mkono hoja ya kunyolewa huko na mtu mwingine zaidi ya mke/mume wako.
Naomba nikufanyie hypothesis, testing and verification mkuuAisee
Kwanin lakin mnatoa hivyo vinyweleo wengine ndio ugonjwa wetu[emoji86][emoji86]Mimi ambazo zimekufa kabisa ni vinyweleo vya mikononi na miguuni(maana nilikuwa na mavinyweleo hadi vikawa vinanikera) na hizi zinazopanda kama tumboni hivi (wenyewe wanaita love garden) na hizi za bikin line nimezi dhibiti kabisa hazioti tena.
Kwapa na pengine bado, ila zikiota zinaota lainii kama vinyweleo vile yaani kama vile ndio mtu anaanza kuvunja ungo[emoji23][emoji23].
Nafanya mwenyewe sasa hivi maana nishakuwa fundi.
Oy mzee baba ebu nitagi ule Uzi wako .... aiseSasa bomu gani linatengenezwa hapo mkuu? Mbona mnapenda kuyafanya maisha yawe magumu sana aise?
Sitoi zote huwa nanyoa mtindo wa kuchonga o kwenye kidevu
Ni kweli ni huduma lakini hatuwezi kuilinganisha na huduma za kitabibu, hii huduma sio muhimu haina lengo la kuokoa uhai badala yake ni kustarehe kwa mgongo wa kufanyiwa unadhifu.kufanyiwa wax ni mojawapo ya huduma, kuna watu wanaenda kabisa kusomea hivi vitu.
Mimi Nachukulia ni mojawapo ya huduma ni kama ningeenda hosp n.k
Kwangu mimi haina shida, narudia tena kuna vitu unafanya mimi naweza kuvishangaa sana na kutovifanya , ndiyo maisha yalivyo!!
Kila la kheri upm muniUnajua mm ni mtu mwenye ndevu nyingi ss huwa nanyoa style ya O ss huku kwenye mashavu kunakuwa kaweusi fulani hivi so naona nikiwa nafanya hii wax tena ikiwezekana hio ya kienyeji itanifaa zaid,kama hutojali tunaweza kuongea pm
Kitabibu mwanamke hapaswi kuwa na vinyweleo vingi. Na ukiona kuna vinyweleo vingi na vinakuwa kwa speed hapo kuna tatizo la kiafya.Kwanin lakin mnatoa hivyo vinyweleo wengine ndio ugonjwa wetu[emoji86][emoji86]
Sio huduma muhimu kwako wewe, ila kwangu mimi ni huduma muhimu.Ni kweli ni huduma lakini hatuwezi kuilinganisha na huduma za kitabibu, hii huduma sio muhimu haina lengo la kuokoa uhai badala yake ni kustarehe kwa mgongo wa kufanyiwa unadhifu.
Hospital inakuwa na lengo la kuokoa uhai wa mtu, na uko radhi uhudumiwe na daktari wa kike au kiume ili kukidhi lengo la kuokoa maisha.
Hii ni tofauti na Waxing ambapo umesema inafanywa na Wanawake tu(nyuma ya pazia mimi sijui)
Tuishi tu humu humu.
Nakuuliza tena:
Kwa mtoto wako wa kike aliyepevuka ambaye bado yupo chini ya himaya yako, unaweza kumruhusu awe anapata hii huduma ya Waxing?
Vinakera hata mkienda beach akivaa nguo za kuogelea zile vinywele vinaonekana pembeniYupo mmoja ana hizo nywele sizipendi kama kuna njia ya kuziondoa mazima naikubali
vinyweleo vilitokana na tatizo la kiafya tayari vilishanikera nikaamua ku gt rid of them for good.Kitabibu mwanamke hapaswi kuwa na vinyweleo vingi. Na ukiona kuna vinyweleo vingi na vinakuwa kwa speed hapo kuna tatizo la kiafya.
Mimi nilikuwa na vinyweleo kidogo ambapo you cant spot them hata ukiwa karibu na mimi ila suddenly vikaamza kurefuka na kuwa vingi kama vya mwanaume yani unaviona hata kwenye picha.
Nilienda hospital nikagundulika nina ovarian cysts. Na moja ya dalili zake ni excess or growth of hair kwa mwanamke au wakati mwingine ni kupotea kwa nywele. Umenielewa?
Sasa na hospital hata ukitibu tatizo bado nywele haziwezi kuondoka on its own wanakushauri ufanye kuzinyoa au wax au veet nk. Kwahiyo kitendo cha kwamba vile vinyweleo vilitokana na tatizo la kiafya tayari vilishanikera nikaamua ku gt rid of them for good.
How? Umenisoma kweli?vinyweleo vilitokana na tatizo la kiafya tayari vilishanikera nikaamua ku gt rid of them for good.
how?
Yes, nilivyokuelewa ni kwamba utakuwa ulitumia kitu cha kuondoa nywele zisiote tena/kamwe, ndio nikauliza ni njia gani? kwa sababu nahisi ukitumia wax baadae zinaota tenaHow? Umenisoma kweli?
Picha tasafali😄
Sasa kumbe wewe umenielewa. Ningekuwa naweza ningepost picha yake hapa tukiwa swimming last week na vinyweleo vyake mikononi na juu ya kitovu. SipendiVinakera hata mkienda beach akivaa nguo za kuogelea zile vinywele vinaonekana pembeni
Sawa ukirudia rudia kufanya wax unaua root za nywele inafika mahali hazioti tena.Yes, nilivyokuelewa ni kwamba utakuwa ulitumia kitu cha kuondoa nywele zisiote tena/kamwe, ndio nikauliza ni njia gani? kwa sababu nahisi ukitumia wax baadae zinaota tena