Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe/mbuzi lina usalama kiasi gani?

Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe /mbuzi linasababishwa na ugumu wa maisha.​

Unakuta mtu kapata Kvant jana anaamka asubuhi ni mchovu na sna buku mfukoni. The next ni supu ya ngozi siku ipite​

Aisee.....wakina mangi na manka waje watueleze ladha yake inakuaje.
 
Asante, naona wengi wao hawaelewi hili, ngozi ilivo ngumu inatumika kutengeneza bags na mikanda sasa sijui kongoro linatumika kutengeneza bidhaa gani
 
Mimi kitaa chetu tulikuwa tukipata hata kwa mia tatu kabla ya kupandishwa kuwa jero na watu wanakuwa nyomi kwenye supu

Nb: Imeniuma sana kuhusisha hiyo kitu na walevi wa mataputapu wkt mtaani hii kitu ni pendwa kwa rika .
 
Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe /mbuzi linasababishwa na ugumu wa maisha.​

Unakuta mtu kapata Kvant jana anaamka asubuhi ni mchovu na sna buku mfukoni. The next ni supu ya ngozi siku ipite​

Supu ya ngozi kibakuli 500
 
Asante, naona wengi wao hawaelewi hili, ngozi ilivo ngumu inatumika kutengeneza bags na mikanda sasa sijui kongoro linatumika kutengeneza bidhaa gani
Kongoro nyama ni ndogo sana , asilimia kubwa ni ngozi, mfupa na uboho, ila kitamu zaidi ni ngozi na uboho, ngozi ya ngumu ndio maana kongoro linachemshwa mda mrefu ili ngozi iive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…