Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe/mbuzi lina usalama kiasi gani?

Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe/mbuzi lina usalama kiasi gani?

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€kazi ninayofanya na watu ninaojuana nao aisee siwezi kula hadharanii kizembe... ila pumbu za mbuzii ni balaaaa
Hahahahah kweli kama uko ofisi za hawa wabongo wenye asili ya kimarekani ni ngumu lazma uvizie vizie wasikuone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukienda Mbeya, supu ya ngozi ni common tu. Ukiagiza supu, unaletewa na ndizi mbili zile ngumungumu, ukishushia na maji ya kwenye jagi la mama ntilie basi unashiba haswa kwa shilling 1000-2000.
Nimechakata sana supu ya magozi kipindi nipo Masasi,na siku moja moja hua nakumbushia nkipita pale Manzese πŸ˜› πŸ˜›
 
Nimechakata sana supu ya magozi kipindi nipo Masasi,na siku moja moja hua nakumbushia nkipita pale Manzese [emoji14] πŸ˜›
Vitu vilivyonishinda na nilishangaa kuviona ni supu ya ngozi wenyeji wanaita vigozi..upupu na vingoko daah..achilia mbali panya..vile vitu sikuwahi hata kujaribu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Inaitwa ming'oko.Ile nimekula sana,upupu nilichemka kula.Ila panya sijawahi hata kuwaona.Ila nilichoka pale Nachingwea kuona watu wanakula Vyura?? kweli tembea uone
 
Unaishi kwa kula ngozi wakati kuna watu wanaambiwa wajipimieπŸ’πŸ’πŸ’
 
Nipo wilaya moja huku Kusini siitaji maana mitandao mingine nimepost nipo huko sitaki watu wajue ila ngozi nimekuta wanazipiga sana hizo kitu.
Screenshot_20220813-201930.jpg

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tulizoea bidhaa kama ngozi ya ng'ombe ikitumika katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama vile mikanda, Mabegi nk.

Nna mwezi mzima na zaidi naweka oda ya ngozi ya ng'ombe kwa ajili ya kuchemshia mbwa nakosa nashindwa kujua kwanini.

Basi Ikabidi nimuulize huyo muuza bucha kwanini zimekuwa adimu hivyo au soko la Nje ya nchi limekuwa kubwa

Jibu alilonipa sikuamini kwani aliniambia ya Kuwa oda nyingi zinachukuliwa kwa ajili ya kwenda kutengenezea supu ya kuuza na wachache hubeba majumbani kwa matumizi ya nyama ya kula Wao.

Wateja wengi wa supu hiyo ni wale wa hali ya chini na walevi wa Pombe za bei rahisi na matatap kutokana na kutoweza kumudu gharama za kununua nyama au supu ya nyingine tuzijuazo

Wanachofanya ni kuchoma /kuunguza yale manyoa yote na baada ya hapo hubandika jikoni tayari kwa kuchemsha supu hiyo.

Bado sijajua kama ulaji wa aina hiyo ya supu ya ngozi una madhara kiafya kwa walaji hao au ni sawa tu. Na mtu anaekula nyama.

Supu hiyo imekuwa ikiuzwa kibakuli kwa. Sh 500.
Na wengi wamedai maisha magumu ndo yanafanya wale ngozi kutokana na kutokuwa na uwezo wa kununua nyama

nimejionea mwenyewe hapa Kilimanjaro

Kusini kule vijiji vya Nanyumbu Mkonona ngozi y’a ng’ombe ni chakula cha asili kabisa inapikwa masaa mengi mpaka inakuwa ujiuji unaeeza ukafyonza kabisa
 
Hakuna

Madhara yoyote yale, kwani sisi watu wa kusini ni kawaida yetu tangu zamani sana.

Na sijasikia athari ya aina yoyote ile... Na kama ni Mbuzi basi huwa tamu zaidi ya nyama ya ndani... Jaribu mkuuu ngozi Tamu sana

Mimi nimekutana nayo kusini kule Nanyumbu na Kata y’a Mkonona mzee nimegonga imewiva imelainika kama uji safi kabisaa
 
Tulizoea bidhaa kama ngozi ya ng'ombe ikitumika katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama vile mikanda, Mabegi nk.

Nna mwezi mzima na zaidi naweka oda ya ngozi ya ng'ombe kwa ajili ya kuchemshia mbwa nakosa nashindwa kujua kwanini.

Basi Ikabidi nimuulize huyo muuza bucha kwanini zimekuwa adimu hivyo au soko la Nje ya nchi limekuwa kubwa

Jibu alilonipa sikuamini kwani aliniambia ya Kuwa oda nyingi zinachukuliwa kwa ajili ya kwenda kutengenezea supu ya kuuza na wachache hubeba majumbani kwa matumizi ya nyama ya kula Wao.

Wateja wengi wa supu hiyo ni wale wa hali ya chini na walevi wa Pombe za bei rahisi na matatap kutokana na kutoweza kumudu gharama za kununua nyama au supu ya nyingine tuzijuazo

Wanachofanya ni kuchoma /kuunguza yale manyoa yote na baada ya hapo hubandika jikoni tayari kwa kuchemsha supu hiyo.

Bado sijajua kama ulaji wa aina hiyo ya supu ya ngozi una madhara kiafya kwa walaji hao au ni sawa tu. Na mtu anaekula nyama.

Supu hiyo imekuwa ikiuzwa kibakuli kwa. Sh 500.
Na wengi wamedai maisha magumu ndo yanafanya wale ngozi kutokana na kutokuwa na uwezo wa kununua nyama

nimejionea mwenyewe hapa Kilimanjaro
Nimekaa maisha yote kilofa na ya kishua kule Ushuani huwa wanakula supu ya kongoro
Ukweli Mchungu hakuna tofauti yoyote kati ya kongoro na ngozi vyote vile vile kwenye kongoro imeongeza mfupa tu.aaaahaaa yaani ni Kama umaskinini wanaita kipindu pindu kule Ushuani food Poison
 
Makongoro na mkia vyote vina ngozi na inaliwa

Ukienda west Africa ngozi ni very common food
Miaka ya nyuma biashara ya ngozi kavu ilinitoa sana kimaisha, nilikuwa nazinunua huko masaini kwa bei chee na kupeleka boda ya Kitobo then Taveta (Kenya) kwa tajiri yetu aliyekuwa anaitwa Mombasa exchange, jamaa alikuwa ana mpunga balaa. Unauza ngozi then anakuuliza upewe cash au unataka bidhaa kama Sabuni (rexona, emoirial) Colgate, kiwi, omo ya unga, mafuta ya kula ya cow boy, Blue band etc.. Daah haya maisha haya weee acha tuuu...
 
Jinsi ya kutengeza ngozi ya ng"ombe kwa ajili ya kitoweo. Ngozi ikisha malizwa kuchunwa ichukue inyooshe vizuri kama unaibanika upande wa manyoya uwe juu. Kisha inyunyizie maji hakikisha imelowana. Ikunje vizuri upande wa mayoya uwe ndani husionekane weka kwenye salfeti ama gunia ili isiguswe na mchanga ama udongo. Chimba shimo weka majani kama unavundika ndizi acha ikae siku tatu itoe inyooshe tena chukua panga anza kuparua manyoya maana utoka kirahisi sana, isafishe vizuri na kata kata vipande vidogo unaweza kuchoma kwenye mindenge mikibwa koka moto kisha ibanike vizuri hakikisha majimaji yote yamechuruzika ikisha kauka itakuwa tayari kwa ajili ya mapishi. Utamu wake nyama ikasome.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Usiende kwa kuvizia bwana, mi juzi nimetest huo mzigo naona uko OG sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sahizi nimeugeuza dinner nikirudi mishale badala ya kuanza kujipikilisha nameza mapupu ya buku nalala freshi.
Mapupu usifanye mchezo,tulikua tunakula sana na vichwa vya mbuzi pale kiria mpk walipofunga.
Nikaenda na wana tafuta hadi buguruni ndo tukaifuma Euro pub pale nyuma ya sewa.
 
Mapupu usifanye mchezo,tulikua tunakula sana na vichwa vya mbuzi pale kiria mpk walipofunga.
Nikaenda na wana tafuta hadi buguruni ndo tukaifuma Euro pub pale nyuma ya sewa.
Ule mzigo umekuwa dinner hasa kipindi hiki ambacho sina mpishi around
 
Chimbo liko MigoMigo sema mida ya night hii inakuwa hamna uchawi. Nang'ata kitu cha skin kiko kama kongoro by 100%!!!

Huwa napenda sana kongoro toka nikiwa yanki. Sasa sikujua kumbe ngozi na kongoro ni almost the same thing. Kwa temperature inayotumika kuchemsha ngozi nina hakika hakuna mdudu ata survive.
Piga,kitu muafaka kabisa hiyo mitaa gani mnapata maana machimbo yake kuingia mchana soo.
 
Ipeni heshima yake hii supu,ita magozi bwana.
 
Nimechakata sana supu ya magozi kipindi nipo Masasi,na siku moja moja hua nakumbushia nkipita pale Manzese πŸ˜› πŸ˜›
Kuna siku niliingia pale hapo bakharesa manzese,nikaagiza supu ya kongoro,kuletwa nikaila vizuri tu nilikuwa kwenye giza,siku ya pili yake kwenda kula kidogo kukawa na mwanga ila kongoro nikiliangalia naliona kama manyoya bado yako,nikashindwa kula,siku iliyofuata nikasema leo ngoja niichunguze vizuri kuiona tu nilishindwa kuila tena,yaani ule mguu jinsi ulivyo ni kama ulioshwa tu na ukainjikwa jikoni,tangu siku ile sijawahi kwenda pale ila kwa sie wa uswazi ndio maisha yetu yaliyotulea hayo,ila hapo kuna watu iyo supu kununua wanashindwa wanabaki kununua tu supu yenyewe bila nyama
 
Back
Top Bottom