Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe/mbuzi lina usalama kiasi gani?

Mkuu chakula chetu pendwa wewe unampa mbwa.. kweli bora kuzaliwa mbwa ulaya.. kuliko maisha mabovu haya
 
Kule mikoa ya kusini ni kawaida sana ngozi kuliwa, usijaribu kuulizia takwimu za ngozi mikoa ya kusini.......utaambiwa zote zimeliwa na binadamu. Itafika mahali tutakosa malighafi za kutengenezea viatu, mikanda, mikoba...........
 
Maisha ya sie wa hali ya chini mwenyezimungu anatulinda mana ukifatilia vyakula tunavyokula mbwa wa kizungu ukimpa lazima akate kauli
Umenikumbusha wakati tupo High school kuna dogo wa kishua aliwakuta wana wanakula ugali akauliza hivi β€œjamani mnakula nini hiki cheusi” wakamjibu ni ugali alipoyaona maharage akaishiwa na nguvu maharage hayajapondeka yapo kama yalivotolewa shambaπŸ˜…
 
Hakuna

Madhara yoyote yale, kwani sisi watu wa kusini ni kawaida yetu tangu zamani sana.

Na sijasikia athari ya aina yoyote ile... Na kama ni Mbuzi basi huwa tamu zaidi ya nyama ya ndani... Jaribu mkuuu ngozi Tamu sana
Wewe utakua wa masasi na viunga vyake..first time na fika kusini nilishangaa sasa kuona ngozi inaliwa wakati kanda ya ziwa ngozi inatupwa..kama ulivyo utumbo wa kuku Dsm unaliwa kanda ya ziwa unatupwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona ngozi ya kitimoto inaliwa bila shida..vp hii ya ng'ombe ipigiwe kelele
 
Wewe utakua wa masasi na viunga vyake..first time na fika kusini nilishangaa sasa kuona ngozi inaliwa wakati kanda ya ziwa ngozi inatupwa..kama ulivyo utumbo wa kuku Dsm unaliwa kanda ya ziwa unatupwa.

#MaendeleoHayanaChama
Lakini wa kanda ya ziwa wanakula mapaki
 
Njoo mtwara iyo supu ya ngozi inaliwa na kila rika, nanyamba, Tandahimba, mtimbwilimbwi, Mahuta, newala, masasi, kitangari, mama-lindi, mbambakofi n.k
 
Sijajua kwa nini ngozi ya ng'ombe kuanzia shingoni mpaka miguuni Ilionekana haiwezi kuliwa ili hali ngozi ya kichwa, mkia na miguuni karibu na kwako ikaonekana inafaa kuliwa. Nchi za Afrika magharibu kama Nigeria, Kameruni na Ghana supu kama haijachanganywa na ngozi hiyo siyo supu. Wao huita POMOO
 
Maisha ya sie wa hali ya chini mwenyezimungu anatulinda mana ukifatilia vyakula tunavyokula mbwa wa kizungu ukimpa lazima akate kauli
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ah kmmmmmk dah mkuu umeniua na kicheko
 
Ndo mana makongoro yanaitwa kongoro na sio ngozi, hapa naongelea mtu kula ngozi na sio kongoro,

Kongoro lina nyama na mafuta flani hivo ndani yake isitoshe pia ni tiba kwa watu wa miguu inayouma
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu jana nimetest kula ngozi haina tofauti na kongoro kwa ladha na hata texture! Juzi nilitest mapupu nayo yako njema tu hakika uswahilini kuna maajabu yake
 
Ndo mana makongoro yanaitwa kongoro na sio ngozi, hapa naongelea mtu kula ngozi na sio kongoro,

Kongoro lina nyama na mafuta flani hivo ndani yake isitoshe pia ni tiba kwa watu wa miguu inayouma
Kongoro ni ngozi iliochangamka
 
Kuna mahali dar huwa wanauza ngozi...kongoro na mapumbu... huwa naenda kulaaa mapuuu sema kwa kuvizia sanaaaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Usiende kwa kuvizia bwana, mi juzi nimetest huo mzigo naona uko OG sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sahizi nimeugeuza dinner nikirudi mishale badala ya kuanza kujipikilisha nameza mapupu ya buku nalala freshi.
 
Usiende kwa kuvizia bwana, mi juzi nimetest huo mzigo naona uko OG sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sahizi nimeugeuza dinner nikirudi mishale badala ya kuanza kujipikilisha nameza mapupu ya buku nalala freshi.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€kazi ninayofanya na watu ninaojuana nao aisee siwezi kula hadharanii kizembe... ila pumbu za mbuzii ni balaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…