Hahahahah kweli kama uko ofisi za hawa wabongo wenye asili ya kimarekani ni ngumu lazma uvizie vizie wasikuone ππππ π π π πkazi ninayofanya na watu ninaojuana nao aisee siwezi kula hadharanii kizembe... ila pumbu za mbuzii ni balaaaa
AhahahaahKuna mahali dar huwa wanauza ngozi...kongoro na mapumbu... huwa naenda kulaaa mapuuu sema kwa kuvizia sanaaaa π π π π
Nimechakata sana supu ya magozi kipindi nipo Masasi,na siku moja moja hua nakumbushia nkipita pale Manzese π πUkienda Mbeya, supu ya ngozi ni common tu. Ukiagiza supu, unaletewa na ndizi mbili zile ngumungumu, ukishushia na maji ya kwenye jagi la mama ntilie basi unashiba haswa kwa shilling 1000-2000.
Vitu vilivyonishinda na nilishangaa kuviona ni supu ya ngozi wenyeji wanaita vigozi..upupu na vingoko daah..achilia mbali panya..vile vitu sikuwahi hata kujaribu.Nimechakata sana supu ya magozi kipindi nipo Masasi,na siku moja moja hua nakumbushia nkipita pale Manzese [emoji14] π
Usitake kufanya maisha yawe magumu jamani!, kikubwa nafsi zao zinaridhika inatosha..
Tulizoea bidhaa kama ngozi ya ng'ombe ikitumika katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama vile mikanda, Mabegi nk.
Nna mwezi mzima na zaidi naweka oda ya ngozi ya ng'ombe kwa ajili ya kuchemshia mbwa nakosa nashindwa kujua kwanini.
Basi Ikabidi nimuulize huyo muuza bucha kwanini zimekuwa adimu hivyo au soko la Nje ya nchi limekuwa kubwa
Jibu alilonipa sikuamini kwani aliniambia ya Kuwa oda nyingi zinachukuliwa kwa ajili ya kwenda kutengenezea supu ya kuuza na wachache hubeba majumbani kwa matumizi ya nyama ya kula Wao.
Wateja wengi wa supu hiyo ni wale wa hali ya chini na walevi wa Pombe za bei rahisi na matatap kutokana na kutoweza kumudu gharama za kununua nyama au supu ya nyingine tuzijuazo
Wanachofanya ni kuchoma /kuunguza yale manyoa yote na baada ya hapo hubandika jikoni tayari kwa kuchemsha supu hiyo.
Bado sijajua kama ulaji wa aina hiyo ya supu ya ngozi una madhara kiafya kwa walaji hao au ni sawa tu. Na mtu anaekula nyama.
Supu hiyo imekuwa ikiuzwa kibakuli kwa. Sh 500.
Na wengi wamedai maisha magumu ndo yanafanya wale ngozi kutokana na kutokuwa na uwezo wa kununua nyama
nimejionea mwenyewe hapa Kilimanjaro
Hakuna
Madhara yoyote yale, kwani sisi watu wa kusini ni kawaida yetu tangu zamani sana.
Na sijasikia athari ya aina yoyote ile... Na kama ni Mbuzi basi huwa tamu zaidi ya nyama ya ndani... Jaribu mkuuu ngozi Tamu sana
Nimekaa maisha yote kilofa na ya kishua kule Ushuani huwa wanakula supu ya kongoroTulizoea bidhaa kama ngozi ya ng'ombe ikitumika katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama vile mikanda, Mabegi nk.
Nna mwezi mzima na zaidi naweka oda ya ngozi ya ng'ombe kwa ajili ya kuchemshia mbwa nakosa nashindwa kujua kwanini.
Basi Ikabidi nimuulize huyo muuza bucha kwanini zimekuwa adimu hivyo au soko la Nje ya nchi limekuwa kubwa
Jibu alilonipa sikuamini kwani aliniambia ya Kuwa oda nyingi zinachukuliwa kwa ajili ya kwenda kutengenezea supu ya kuuza na wachache hubeba majumbani kwa matumizi ya nyama ya kula Wao.
Wateja wengi wa supu hiyo ni wale wa hali ya chini na walevi wa Pombe za bei rahisi na matatap kutokana na kutoweza kumudu gharama za kununua nyama au supu ya nyingine tuzijuazo
Wanachofanya ni kuchoma /kuunguza yale manyoa yote na baada ya hapo hubandika jikoni tayari kwa kuchemsha supu hiyo.
Bado sijajua kama ulaji wa aina hiyo ya supu ya ngozi una madhara kiafya kwa walaji hao au ni sawa tu. Na mtu anaekula nyama.
Supu hiyo imekuwa ikiuzwa kibakuli kwa. Sh 500.
Na wengi wamedai maisha magumu ndo yanafanya wale ngozi kutokana na kutokuwa na uwezo wa kununua nyama
nimejionea mwenyewe hapa Kilimanjaro
Miaka ya nyuma biashara ya ngozi kavu ilinitoa sana kimaisha, nilikuwa nazinunua huko masaini kwa bei chee na kupeleka boda ya Kitobo then Taveta (Kenya) kwa tajiri yetu aliyekuwa anaitwa Mombasa exchange, jamaa alikuwa ana mpunga balaa. Unauza ngozi then anakuuliza upewe cash au unataka bidhaa kama Sabuni (rexona, emoirial) Colgate, kiwi, omo ya unga, mafuta ya kula ya cow boy, Blue band etc.. Daah haya maisha haya weee acha tuuu...Makongoro na mkia vyote vina ngozi na inaliwa
Ukienda west Africa ngozi ni very common food
Makongoro wabaondoa ngozi, halafu yana mifupa yenye supu nzuri na ile bon marrow.. hasa ukipata kongoro la bomba surely haliwezi kuwa sawa na ngozi...Hapo unashangaa nini?Makongoro siyo ngozi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapupu usifanye mchezo,tulikua tunakula sana na vichwa vya mbuzi pale kiria mpk walipofunga.Usiende kwa kuvizia bwana, mi juzi nimetest huo mzigo naona uko OG sana. πππ Sahizi nimeugeuza dinner nikirudi mishale badala ya kuanza kujipikilisha nameza mapupu ya buku nalala freshi.
Ule mzigo umekuwa dinner hasa kipindi hiki ambacho sina mpishi aroundMapupu usifanye mchezo,tulikua tunakula sana na vichwa vya mbuzi pale kiria mpk walipofunga.
Nikaenda na wana tafuta hadi buguruni ndo tukaifuma Euro pub pale nyuma ya sewa.
Piga,kitu muafaka kabisa hiyo mitaa gani mnapata maana machimbo yake kuingia mchana soo.Ule mzigo umekuwa dinner hasa kipindi hiki ambacho sina mpishi around
Piga,kitu muafaka kabisa hiyo mitaa gani mnapata maana machimbo yake kuingia mchana soo.
Kuna siku niliingia pale hapo bakharesa manzese,nikaagiza supu ya kongoro,kuletwa nikaila vizuri tu nilikuwa kwenye giza,siku ya pili yake kwenda kula kidogo kukawa na mwanga ila kongoro nikiliangalia naliona kama manyoya bado yako,nikashindwa kula,siku iliyofuata nikasema leo ngoja niichunguze vizuri kuiona tu nilishindwa kuila tena,yaani ule mguu jinsi ulivyo ni kama ulioshwa tu na ukainjikwa jikoni,tangu siku ile sijawahi kwenda pale ila kwa sie wa uswazi ndio maisha yetu yaliyotulea hayo,ila hapo kuna watu iyo supu kununua wanashindwa wanabaki kununua tu supu yenyewe bila nyamaNimechakata sana supu ya magozi kipindi nipo Masasi,na siku moja moja hua nakumbushia nkipita pale Manzese π π