Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

Jamani hizi habari ni za kweli hapo chini au
Screenshot_20220408-220408.jpg
 
Ni Disappointment kubwa sana hii. Watu tumekaa tunasubiri mkeka alafu wenyewe wanaita watu kimya kimya kweli. Kwann wasifuate utaratibu wao wa kutangaza mkeka kama ilivyokawaida. Kuna mtu alinijuza ya kwamba PSRS Wanadisappoint sana watu
 
Mkuu usiwe desperate sana utaratibu ni ule ule watatoa majina ndipo taratibu zingine zitaendelea.
 
Ni Disappointment kubwa sana hii. Watu tumekaa tunasubiri mkeka alafu wenyewe wanaita watu kimya kimya kweli. Kwann wasifuate utaratibu wao wa kutangaza mkeka kama ilivyokawaida. Kuna mtu alinijuza ya kwamba PSRS Wanadisappoint sana watu
Mkeka on the way

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom