Kenya 2022 Hili lisipofanyika naiona Damu Kubwa sana inaenda kumwagika Kenya baada ya huu Uchaguzi Mkuu

Kenya 2022 Hili lisipofanyika naiona Damu Kubwa sana inaenda kumwagika Kenya baada ya huu Uchaguzi Mkuu

Kenya 2022 General Election
Ili Kukonga nyoyo za kila upande Hasimu Team Ruto na Team Odinga yeyote atakayetangazwa rasmi na Supreme Court ya nchini Kenya kuwa ndiye Mshindi' amteue Mpinzani wake kuwa Waziri Mkuu Cheo ambacho kwa Katiba ya Kenya hakipo ila katika Mazingira tatanishi na kuleta Usawa na Utulivu huwa Kinaundwa

William Ruto na Raila Odinga wanawakilisha Makundi ya Ushawishi na yaliyokata Tamaa kutokana na Ugumu wa Maisha hivyo ni rahisi zaidi kwa Mshindwa Kihalali kuamua Kuwaratibu ili wafanye Fujo na Kenya isitawalike Kitu ambacho Team Ruto na Team Odinga wanaonekana kukitaka japo mbele ya Csmera wote Kiunafiki na Kidiplomasia wanahubiri Upendo, Amani, Umoja na Mshikamano.

Wawili hawa ambao ni Mahasimu Kisiasa watake wasitake ili Kuondokona na lawama Wakubaliane tu kuwa Waunde Serikali ya Umoja wa Kitaifa ( SUK ) na kile Cheo cha Waziri Mkuu kirejeshwe na aliyeshindwa ateuliwe hapo kama sehemu ya Kumtuliza na Kuwatuliza Wafuasi wake na Msisha yaendelee.

Kwa hizi Fujo chache nilizoanza Kuziona hasa baada ya Kutangazwa William Ruto ni Mshindi' kama Busara ya Vyeo isipofanyika Damu Kubwa inaenda Kumwagika na tujiandae kuwapokea Wakenya kama Wakimbizi kwa Fujo Kubwa inayoonekana bila Kificho kuwa muda wowote inaenda Kuanza.
Serikali ya mseto inakuja kenya ...vinginevyo ni [emoji879][emoji879][emoji879]tu au Rais Ruto awe rais bora kweli kweli ndiyo anaweza kutuliza nchi
 
Serikali ya mseto inakuja kenya ...vinginevyo ni [emoji879][emoji879][emoji879]tu au Rais Ruto awe rais bora kweli kweli ndiyo anaweza kutuliza nchi
Nyie mtaimwaga maradufu kwanza ni watoto wenyu watakaomwaga damu kwa sababu ya uoga wenyu nyie wapiga ramli,chama kimoja tangu uhuru kimewabaka nakuwakaba kooni kweli kweli.
Hata katiba tu hamna.

Maajabu ya kipofu kumcheka chongo.
 
Sisi tulikuwa tunakwenda vizuri sana sema huyu kanithi wa zanzibar katuchafua kwa muda ila tuta fanya 2025 tutatue ili tatizo
 
Sisi tulikuwa tunakwenda vizuri sana sema huyu kanithi wa zanzibar katuchafua kwa muda ila tuta fanya 2025 tutatue ili tatizo
mama yuko vizuri tena makini sana. 2025 nitampa kura yangu
 
Back
Top Bottom