Sasa hapo mtakuwa mmeisaidia mno nchi hii , unajua hii wizara anapaswa kupewa mtu mwenye uzoefu kama mimi , usiokote mtu jalalani na kumuweka hapa , ataenda kuchukua mchemsho aseme dawa ya corona !
😆😆😆Hivi ule mchemsho uliishia wapi!? Nchi ina vituko sana hii.
Hakuna kitu kama icho,January Makamba alikuwaga waziri wa Mazingira na Muungano,Elimu yake unaijuaWaziri anatakiwa awe na degree at least! Twambie Sugu na Mbowe walimaliza degree zao vyuo gani?
Hilo baraza kivuli mbona mnalo siku zote bwashee!
Pingapinga Fc ufipa country.Baraza ka Mawaziri la nchi gani?
Jambazi la magari.Lema huwa siku zote anajiona anatosha kuwa waziri wa mambo ya ndani kisa tu ni mtu wa fujo fujo anajuwa ndo sifa pekee
Huyo ni mwanasheria mkuu wa Serikali.Hapo kwenye sheria ni kibatala boss
Hull University ni chuo siyo Masters, taja kasomea fani gani hapo Hull University. Yaani aende na zero ya form six akasome Masters? Chadema wote zero tu.Mbowe ana Masters ya Hull University
Aliingia mature entry na alisoma first degree kwanza.Hull University ni chuo siyo Masters, taja kasomea fani gani hapo Hull University. Yaani aende na zero ya form six akasome Masters? Chadema wote zero tu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Huyu Kafunguwa Kanisa lake atakuwa Nabii wa ulajiSafi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandishi wa habari watamuelewa Waziri msela.
Kamanda Lema atakuwa wapi?
Mwaka huu hata mawaziri vivuli hakuna. ACT mpango mzima.Mimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lisu.
Na huu ndo utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa...
Mawaziri lazima wawe Wabunge hao ulioorodhesha wanaweza wasichaguliwe kuwa wabunge lakini Rais Lissu bado anaweza akaunda Baraza mahili tuseme la Mawaziri 20 kama ifuatavy0:Mimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lisu.
Na huu ndo utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa...
Mawaziri lazima wawe Wabunge hao ulioorodhesha wanaweza wasichaguliwe kuwa wabunge lakini Rais Lissu bado anaweza akaunda Baraza mahili tuseme la Mawaziri 20 kama ifuatavy0:
1. Rais ana viti 10 Bungeni kikatiba, hao tayari ni nusu ya Baraza lake.
2. Hata kama Chama chake hakitapata Wabunge wote 10 kukamilisha Baraza lake, atajazia toka Vyama rafiki vitakavyokuwa na viti vya kuchaguliwa. Rais Obama aliongoza mihula yote miwili bila Chama chake kuongoza Bunge, hata Trump nae Chama chake kinaongoza Senate tu. Macron wa Ufaransa alianzisha Chama chake mwaka wa Uchaguzi anashindà Urais lakini Chama kikashindwa kuongoza Bunge lakini ni Chama tawala. Tunahitaji mabadiliko baada ya miaka 60!
Mkuu kuna wajinga wengi kwamba degree ndio kila kitu kwenye siasa.Ulimbukeni ndio shida,je Sir Wiston Churchill alipoukwaa uwaziri mkuu wa Uingereza alikuwa na degree?Sokoine, Sumaye, Mrema, etecetera walikuwa na Degree gani?
Safi sana Rais wa Mbeya vijana watakula bingo, waandishi wa habari watamuelewa Waziri msela.
Kamanda Lema atakuwa wapi?