Hili ndio jengo la Machinjio linalodaiwa kugharimu shilingi milioni 200 huko Kigoma

Hili ndio jengo la Machinjio linalodaiwa kugharimu shilingi milioni 200 huko Kigoma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Slide_Pics_kulia.....%0A%0AKwako_Waziri_wa_%40ortamisemi%0A_Mh._%40innocentbash_%2C_tusaidie_h...jpg

Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha.

Kazi Iendelee.
 
Kuna watu bado wanaamini eti ccm itawaletea maendeleo..nadhani hao watu watakua wamerogwa..ccm ipo kwajili ya matumbo ya viongozi tu na kulinda maslahi yao binafsi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nakubaliana na wewe kuwa ccm imeshindwa kuleta kile wananchi wangetamani kiletwe na kwa muda mfupi, lakini kuamini kuwa Chadema ni mbadala wa ccm au itafanya vizuri kuliko ccm huo ni ujuha uliopitiliza.
 
View attachment 2094582

Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .

Kazi Iendelee .
Hiki kibanda kinaitwa KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO BUILDING
 
Kula Kulingana Na Urefu Wa Kamba Nadhani Wamezingatia Hilo
 
Ni mradi wa lini huu? Jengo halionekani kuwa jipya!
Inabidi tuachane na issues kama...
Oh..! unajua....huu ni mradi wa kipindi cha fulani, so haimuhusu fulani.

Tusisahau kuwa Tanzania inatawaliwa na CCM, na viongozi wote wa CCM ni mafisadi na wabinafsi waliopindukia.

Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia , wote ni CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2094582

Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .

Kazi Iendelee .
Kufunga mfumo wa uchijaji gharama haitapungua milioni 500. Bado ujenzi wa mazizi ya kuhifadhi wanyama wakingojea kuchinjwa, mfumo wa majtaka wenye mabwawa yake, vyoo vya wafanyakazi na watakaokuja kupata huduma na mfumo wa maji ya moto na baridi ndani ya machinjio na matanki ya maji kuhifadhi maji ya kutosha uchinjaji wa siku kila ng,ombe akikadiriwa kutumia lita 1000, genereta ya dharura. Jengo hilo kwa kukadiria lina upana na urefu usiopungua mia 25 kwa 30 mpaka 50. Milioni 200 ni ndogo sana.
 
Back
Top Bottom