Hili ndio jengo la Machinjio linalodaiwa kugharimu shilingi milioni 200 huko Kigoma

Hili ndio jengo la Machinjio linalodaiwa kugharimu shilingi milioni 200 huko Kigoma

View attachment 2094582

Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .

Kazi Iendelee .

D15A0C21-52D6-4084-965C-57732F941392.jpeg
 
Kufunga mfumo wa uchijaji gharama haitapungua milioni 500. Bado ujenzi wa mazizi ya kuhifadhi wanyama wakingojea kuchinjwa, mfumo wa majtaka wenye mabwawa yake, vyoo vya wafanyakazi na watakaokuja kupata huduma na mfumo wa maji ya moto na baridi ndani ya machinjio na matanki ya maji kuhifadhi maji ya kutosha uchinjaji wa siku kila ng,ombe akikadiriwa kutumia lita 1000, genereta ya dharura. Jengo hilo kwa kukadiria lina upana na urefu usiopungua mia 25 kwa 30 mpaka 50. Milioni 200 ni ndogo sana.
Mkuu upepo ushapuliza mkia wa kuku😃😃
 
Mkuu upepo ushapuliza mkia wa kuku😃😃
Machinjo ya kisasa sio KARO la kuchinjia. Hapo bilioni 1 na zaidi itahitajika. Fuatilia waliojenga machinjio za kusasa. Ndio sababu kumchinja ngombe mmoja gharama haipungui tshs 20000. Hizo za kwenye karo wanakotumia maji machafu kuoshea utumbo na nyama, watu waiovaa mavazi machafu, machinjio yanayonuka, nyama chafu ndio wanaotoza 5000. Hatuwezi kuendelea na hayo makaro mkuu. Watu wengi wangefika ktk makaro wasingekula nyama tena.
 
Endelea kupulizia kinyesi pafyumu!!
 
View attachment 2094582

Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .

Kazi Iendelee .
[emoji119][emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manka unapanic bure tu!

Nioneshe hicho chama mbadala wa ccm!
Mbuzi mwenye Kamba shingoni, usiejua hata thamani ya uhuru wako, haya mengine yapo nje ya uwelewa wako, wewe furahia urefu wa kamba yako tu basi.
 
Back
Top Bottom