Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachoonekana hapo jengo la mil 200 labda hayo majenerata na mafriza bado yapo nyumbani kwako hujayaleta hapo😃😃Kufunga mfumo wa uchijaji gharama haitapungua milioni 500. Bado ujenzi wa mazizi ya kuhifadhi wanyama wakingojea kuchinjwa, mfumo wa majtaka wenye mabwawa yake, vyoo vya wafanyakazi na watakaokuja kupata huduma na mfumo wa maji ya moto na baridi ndani ya machinjio na matanki ya maji kuhifadhi maji ya kutosha uchinjaji wa siku kila ng,ombe akikadiriwa kutumia lita 1000, genereta ya dharura. Jengo hilo kwa kukadiria lina upana na urefu usiopungua mia 25 kwa 30 mpaka 50. Milioni 200 ni ndogo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Manka unapanicMbuzi mwenye Kamba shingoni, usiejua hata thamani ya uhuru wako, haya mengine yapo nje ya uwelewa wako, wewe furahia urefu wa kamba yako tu basi.
Wanatekeleza ilani yao ya kula kwa urefu wa kamba kwa vitendo.Miradi hiyo hiyo miaka nenda rudi wanaitangaza kila uchaguzi.Ni mradi wa lini huu? Jengo halionekani kuwa jipya!
Kinachoonekana hapo jengo la mil 200 labda hayo majenerata na mafriza bado yapo nyumbani kwako hujayaleta hapo😃😃
Siwezi kupanic kwa Mbuzi aliefungwa kamba. Akili yako haina akili. Usituchoshe.[emoji23][emoji23][emoji23]Manka unapanic
Hebu nisambaratishe kwa kutaja hicho chama
Unapanic bure mankaSiwezi kupanic kwa Mbuzi aliefungwa kamba. Akili yako haina akili. Usituchoshe.
Kila mrefu hula kwa mbuzi ya kamba yakeView attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .
Chui jike njoo huku unasifiwa na wateja wenzio!Naaam.. kazi iendelee Chui jike kazini.
Halafu wakati wa uzinduzi wa hili gofu utasikia huu ulikuwa mradi wa ''kimkakati''. Kisha wananchi watapiga makofi bila kujua tozo zao za miamala zimekwisha liwa na nzi wa kijaniView attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .
kaelekea wapi ?
Yaa kwa hilo jengo mil. 200 bado ni kidogo kutegemea na design, aina na quality ya material iliyowekwa humo........labda kama limejengwa kienyejienyeji....Bado nasisitiza kuwa milioni 200 ni ndogo. Naona amejenga jengo simple. Mfano paa haitakiwi iwe yaMBAO. Inatakiwa ya mabomba au chuma ndio ifunikwe na bati. Bado kunatakuwa viyoyozi. Dirisha ni za kuingiza mwanga tu. Zinatakiwa ziwe zimefungwa wakati wanachinja mkuu.
Fundi na kamati husika wamekula urefu wa kamba zaoView attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .
... muonekano wa nje usikusumbue Mkuu; sehemu za kuchinjia zimenakshiwa kwa dhahabu na marumaru za thamani kuu ili ku-maintain ubora wa nyama.Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .