Hili ndio jengo la Machinjio linalodaiwa kugharimu shilingi milioni 200 huko Kigoma

View attachment 2094582

Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .

Kazi Iendelee .

Nchi inafunguliwa tusimkwamishe mama [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
View attachment 2094582

Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .

Kazi Iendelee .
Tupe na Mwaka ,lini lilijengwa maana inaonesha ni kuu kuu.

Msitake kumchafua Samia wakati ni wazalendo wa awamu ya 5 walijenga.

Mwisho ushukuru Samia unaweza hata kutoa taarifa kwa umma,zama za Giza usingethubutu.
 
View attachment 2094582

Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .

Kazi Iendelee .
😂😂😂
Ilisha nenwa kuwa hao watu ni kizazi cha PANYA:
baba mwizi
Mtoto mwizi
Mjukuu mwizi
Kitukuu mwizi
Kilembwe mwizi
Kining'ina mwizi 🙄
 
CCM inakujaje hapo? Any way ili usiwe unaweka chama na tabia za watu binafsi chukua hii

Wilaya ya Karatu mkoani Arusha lilikua Jimbo la upinzani kindaki ndaki chini ya Dr Slaa na wengineo, mpaka sasa hua wanasema ni afadhari walipigie jiwe kura, lakini waliwahi kutua na Helkopta kwenye kampeni na kuchangisha pesa ya kujenga ofisi, hapo hapo uwanjani wakapata million 400,haijalishi, bado wamekua na hilo Jimbo zaidi ya miaka 25 lakini ofisi mpaka leo iko kwenye lenta

Mchana mwema
 
Hiki kibanda kinaitwa KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO BUILDING
IMG_20220119_153335.jpg
 
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha.

Kazi Iendelee.

Hii ni machinjio au nyumba ya kuishi mtu??! 🤣 mbona haifanani kama machinjio!!!
 
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha.

Kazi Iendelee.
Sawa tuiache hiyo tuje upande wenu MWAMBA TAPELI MWIZI MBOWE alipewa shilingi milioni miamoja na sabodo za kujenga ofisi hivi alienda kuijengea wapi kweli hii ofisi hebu tukumbushe bingwa wa mahesabu erythrocyte tukumbushe
 
Hiyo machinjio hawajapendejeza Nina maarufu la kiongozi ili liandikwe nakutambulika haraka kama Solo la Ndugai.
 
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.

Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha.

Kazi Iendelee.
Niliwahi kuona kwenye taarifa ya habari, jengo moja dogo sana la taasisi ya Umma ambayo jina lake silikumbuki vizuri, limeanza kutumika likiwa limeghahrimu million 700. Unless labda niwe nilisikia vibaya, labda zilikuwa million 70!
Vituo vya afya vya kisasa kabisa tunavyojenga vinagharimu million 50, na ni vizuri muno hata kwa muonekano wa macho tu
Anyway, sijui. Million 700, sawa na vituo 14 vya Afya! Jengo moja, tena dogo tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilisha nenwa kuwa hao watu ni kizazi cha PANYA:
baba mwizi
Mtoto mwizi
Mjukuu mwizi
Kitukuu mwizi
Kilembwe mwizi
Kining'ina mwizi [emoji849]
Mbona hujaweka mama mwizi bibi mwizi dada wez mbona umeelemea kwa jinsia moja tu kwan huko ccm hakuna k
 
Back
Top Bottom