Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kaelekea wapi?Mbuzi kakata kamba!
ACT wazalendo!kaelekea wapi ?
Sasa mbona tangu Nov 2020 halmashauri zote ziko chini ya CCM, kulikoni tena?ACT wazalendo!
Mwendazake alikuwa na drama kumbe kwa ground wenzake wanafanya yao!!Mbuzi kakata kamba!
Akikujibu, NITAG!Ni mradi wa lini huu? Jengo halionekani kuwa jipya!
Binafsi nakubaliana na wewe kuwa ccm imeshindwa kuleta kile wananchi wangetamani kiletwe na kwa muda mfupi, lakini kuamini kuwa Chadema ni mbadala wa ccm au itafanya vizuri kuliko ccm huo ni ujuha uliopitiliza.Kuna watu bado wanaamini eti ccm itawaletea maendeleo..nadhani hao watu watakua wamerogwa..ccm ipo kwajili ya matumbo ya viongozi tu na kulinda maslahi yao binafsi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kibanda kinaitwa KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO BUILDINGView attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .
Ni Majizi Haya Tutalala Nayo MbeleCcm oyeee
Penye majani mengikaelekea wapi ?
Penye majani mengikaelekea wapi ?
Inabidi tuachane na issues kama...Ni mradi wa lini huu? Jengo halionekani kuwa jipya!
Mashambani mwa watukaelekea wapi ?
Kufunga mfumo wa uchijaji gharama haitapungua milioni 500. Bado ujenzi wa mazizi ya kuhifadhi wanyama wakingojea kuchinjwa, mfumo wa majtaka wenye mabwawa yake, vyoo vya wafanyakazi na watakaokuja kupata huduma na mfumo wa maji ya moto na baridi ndani ya machinjio na matanki ya maji kuhifadhi maji ya kutosha uchinjaji wa siku kila ng,ombe akikadiriwa kutumia lita 1000, genereta ya dharura. Jengo hilo kwa kukadiria lina upana na urefu usiopungua mia 25 kwa 30 mpaka 50. Milioni 200 ni ndogo sana.View attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .