peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
View attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .
Mkuu upepo ushapuliza mkia wa kuku😃😃Kufunga mfumo wa uchijaji gharama haitapungua milioni 500. Bado ujenzi wa mazizi ya kuhifadhi wanyama wakingojea kuchinjwa, mfumo wa majtaka wenye mabwawa yake, vyoo vya wafanyakazi na watakaokuja kupata huduma na mfumo wa maji ya moto na baridi ndani ya machinjio na matanki ya maji kuhifadhi maji ya kutosha uchinjaji wa siku kila ng,ombe akikadiriwa kutumia lita 1000, genereta ya dharura. Jengo hilo kwa kukadiria lina upana na urefu usiopungua mia 25 kwa 30 mpaka 50. Milioni 200 ni ndogo sana.
Nioneshe chama kitakachowaletea watz maendeleo ili tuipige chini ccm!Kuna watu bado wanaamini eti ccm itawaletea maendeleo..nadhani hao watu watakua wamerogwa..ccm ipo kwajili ya matumbo ya viongozi tu na kulinda maslahi yao binafsi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamba ya Mambuzi MaCCM ni ndefu mno.. bwashee kazi iendelee..!Mbuzi kakata kamba!
Hata Kama lilijengwa wakati was ukoloni...sisiem na Wakoloni ni Mtu na Binamu yake!Akikujibu, NITAG!
Akili yako haina akili. Baki huko huko na Mambuzi wenzio. Mbuzi unakamba shingoni wewe usijisahau.Nioneshe chama kitakachowaletea watz maendeleo ili tuipige chini ccm!
Machinjo ya kisasa sio KARO la kuchinjia. Hapo bilioni 1 na zaidi itahitajika. Fuatilia waliojenga machinjio za kusasa. Ndio sababu kumchinja ngombe mmoja gharama haipungui tshs 20000. Hizo za kwenye karo wanakotumia maji machafu kuoshea utumbo na nyama, watu waiovaa mavazi machafu, machinjio yanayonuka, nyama chafu ndio wanaotoza 5000. Hatuwezi kuendelea na hayo makaro mkuu. Watu wengi wangefika ktk makaro wasingekula nyama tena.Mkuu upepo ushapuliza mkia wa kuku😃😃
Jengo la ACT hilo, mradi wa 2015 - 2020Ccm oyeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Hiki kibanda kinaitwa KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO BUILDING
Utakijua vipi na hamuwapi nafasi!!!?? Wapeni nafasi muwapime kama mlivyowapima CCM.Nioneshe chama kitakachowaletea watz maendeleo ili tuipige chini ccm!
Naaam.. kazi iendelee Chui jike kazini.Hiki kibanda kinaitwa KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO BUILDING
Manka unapanic bure tu!Akili yako haina akili. Baki huko huko na Mambuzi wenzio. Mbuzi unakamba shingoni wewe usijisahau.
Ni swala la muda tu, MaCCM yote yanajua Chama lamao ni Chama maiti, mwache mpumbavu ajifanye atatoa hatoi.Utakijua vipi na hamuwapi nafasi!!!?? Wapeni nafasi muwapime kama mlivyowapima CCM.
Endelea kupulizia kinyesi pafyumu!!Machinjo ya kisasa sio KARO la kuchinjia. Hapo bilioni 1 na zaidi itahitajika. Fuatilia waliojenga machinjio za kusasa. Ndio sababu kumchinja ngombe mmoja gharama haipungui tshs 20000. Hizo za kwenye karo wanakotumia maji machafu kuoshea utumbo na nyama, watu waiovaa mavazi machafu, machinjio yanayonuka, nyama chafu ndio wanaotoza 5000. Hatuwezi kuendelea na hayo makaro mkuu. Watu wengi wangefika ktk makaro wasingekula nyama tena.
[emoji119][emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .
Mbuzi mwenye Kamba shingoni, usiejua hata thamani ya uhuru wako, haya mengine yapo nje ya uwelewa wako, wewe furahia urefu wa kamba yako tu basi.Manka unapanic bure tu!
Nioneshe hicho chama mbadala wa ccm!
Huu ni ukweli mchungu ambao kuna baadhi ya watu hawataki kabisa kuusikia.Kuna watu bado wanaamini eti ccm itawaletea maendeleo..nadhani hao watu watakua wamerogwa..ccm ipo kwajili ya matumbo ya viongozi tu na kulinda maslahi yao binafsi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app