View attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .
Tupe na Mwaka ,lini lilijengwa maana inaonesha ni kuu kuu.View attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .
😂😂😂View attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .
Nina miradi mingi kama hii kwenye sekta mbalimbali watu wamepiga Sana chini ya serikali ya wanyonge 😁😀😀Mwendazake alikuwa na drama kumbe kwa ground wenzake wanafanya yao!!
Na yote ilikuwa inadimamiwa na wajumbe wa kile kikosi kazi cha "wasiojulikana"!!Nina miradi mingi kama hii kwenye sekta mbalimbali watu wamepiga Sana chini ya serikali ya wanyonge 😁😀😀
CCM inakujaje hapo? Any way ili usiwe unaweka chama na tabia za watu binafsi chukua hiiView attachment 2094582
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha .
Kazi Iendelee .
Hiki kibanda kinaitwa KULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO BUILDING
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha.
Kazi Iendelee.
Nikikuwekea picha za ndani ya jengo hili ambako kuna pangaboi moja tu na dari la mbao zilizojaa wadudu utakuwa tayari kufuta post yako ?
Sawa tuiache hiyo tuje upande wenu MWAMBA TAPELI MWIZI MBOWE alipewa shilingi milioni miamoja na sabodo za kujenga ofisi hivi alienda kuijengea wapi kweli hii ofisi hebu tukumbushe bingwa wa mahesabu erythrocyte tukumbushe
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha.
Kazi Iendelee.
navifaa navyo piga picha piaNikikuwekea picha za ndani ya jengo hili ambako kuna pangaboi moja tu na dari la mbao zilizojaa wadudu utakuwa tayari kufuta post yako ?
Niliwahi kuona kwenye taarifa ya habari, jengo moja dogo sana la taasisi ya Umma ambayo jina lake silikumbuki vizuri, limeanza kutumika likiwa limeghahrimu million 700. Unless labda niwe nilisikia vibaya, labda zilikuwa million 70!
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha.
Kazi Iendelee.
Mbona hujaweka mama mwizi bibi mwizi dada wez mbona umeelemea kwa jinsia moja tu kwan huko ccm hakuna k[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilisha nenwa kuwa hao watu ni kizazi cha PANYA:
baba mwizi
Mtoto mwizi
Mjukuu mwizi
Kitukuu mwizi
Kilembwe mwizi
Kining'ina mwizi [emoji849]
Hapo sio nusu ni robo tatu ya pesa wamekulaUtakuta nusu zimeishia kwenye posho za vikao eti kujadili mradi