Hili ndio jina la kike linalotumiwa na idadi kubwa ya wanawake nchini Tanzania

Hili ndio jina la kike linalotumiwa na idadi kubwa ya wanawake nchini Tanzania

I have the most unique name of all, tangu nizaliwe the people I have met personally with similar name as mine wana hesabika and I don't think wanafika 10 ..
 
Unamjua Maria wewe? Hilo jina common sana likifuatiwa na Jackline. Ukitaka kujua majina common tafuta umetembea na wangapi wanafanana majina. Mpaka hapa nimetembea na Jackline watatu wakati overall sijawahi zidi wanawake 12
 
Fatuma...

Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma..

The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls....
Ukeinda
Fatuma...

Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma..

The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls....
Mwanangu kama umefanya utafiti basi umeufanya vibaya. Hata Unguja siyo hivo ukiachilia mbali mikoa kama Ruvuma,Kagera, Mwanza, Mara na hata Arusha, Kilimanjaro na Manyara. Si kweli hata kidogo. Msitake kutusilimisha kinamna hapa.
 
Nafahamu hiyo sala
But do you want us to believe 80% ya wanawake wanaitwa Fatuma?
Sina hakika, ila tu lazima hilo jina lipo top 10 ya majina yanayotumika zaidi
Huenda hawajasambaa sana hao kina fatuma ila ni kweli wapo wengi watakuwa wako concentrated maeneo fulani ya nchi
 
Sina hakika, ila tu lazima hilo jina lipo top 10 ya majina yanayotumika zaidi
Huenda hawajasambaa sana hao kina fatuma ila ni kweli wapo wengi watakuwa wako concentrated maeneo fulani ya nchi
Fatuma WaPo wengi sana
 
Leta facts
Mwaka 2005 nilishiriki katika kuandika daftari la kudumu la wapiga Kura. Katika wanawake Zaidi ya elfu nane nilio waandikisha Zaidi ya elfu tano Na Mia tano walikuwa wanaitwa Fatuma... Ilikuwa mjini Daslamu.
 
Back
Top Bottom