Hili ndio jina la kike linalotumiwa na idadi kubwa ya wanawake nchini Tanzania

Uongo mkuu! Wanawake kumi mmoja ataitwa fatuma? Labda kwenu Daslamu.
Mimi kwetu kijijini kina fatuma hawafiki watano kijiji kizima.
Niapoishi hakuna Fatuma, mtaa ninapofanyia kazi, wengi ni Muslim, nipo zaidi ya miaka 10, yupo Fatuma mmoja. Wapo kina Adija, Zainabu, Johari, Mwasiti, Zuena, Maramu, Siwema nk. Una mapenzi na jina hilo.
 
Hilo jina nimekuja kuliskia darasa la 6, huyo mwenye jina alipohamia shuleni kwetu. Baada ya hapo hakukua na Fatuma mwingine kijijini mpaka nilipokua daslamu na kukuta wanalitumia tumia ila sio kama la "Naa" sa sijui ni Nasra au n nn!!!?
 
Na siku hizi kina FATUMA wanapotea naona wanajiita kwa mfumo wa FATMA
Au Fetty ukiwaita Fatuma wana mind vibaya Sana. Wakati nipo chuo nilikuwaga Na demu wangu anaitwa Fatma basi siku hiyo nikamuita Fatuma, alininunia semester nzima
 
Hilo jina nimekuja kuliskia darasa la 6, huyo mwenye jina alipohamia shuleni kwetu. Baada ya hapo hakukua na Fatuma mwingine kijijini mpaka nilipokua daslamu na kukuta wanalitumia tumia ila sio kama la "Naa" sa sijui ni Nasra au n nn!!!?
Duh hiyo lazima itakuwa ukara🤣🤣🤣
 
Kuna majina ni common kila sehemu hukosi ,mfano sisi shule ya msingi darasa moja watu 13 tulikuwa na jina moja
I guess ur name must be Juma
 
Mtoa mada ashasema kafanya utafiti wake,watu washaanza kunasibisha na dini tayar loohh kazi kweli kweli,Kanda ya ziwa huko hawachagui majina lolote tu linalotamkika kinywani twende nalo...
Yeah kanda ya ziwa Hadi kina Jaffari Na Salumu wakristo wapo
 
Niapoishi hakuna Fatuma, mtaa ninapofanyia kazi, wengi ni Muslim, nipo zaidi ya miaka 10, yupo Fatuma mmoja. Wapo kina Adija, Zainabu, Johari, Mwasiti, Zuena, Maramu, Siwema nk. Una mapenzi na jina hilo.
Hakunaga
 
Au Fetty ukiwaita Fatuma wana mind vibaya Sana. Wakati nipo chuo nilikuwaga Na demu wangu anaitwa Fatma basi siku hiyo nikamuita Fatuma, alininunia semester nzima
Mimi wawili nimesoma nao primary na mmoja o'level .. aisee sasa wanasema hawaitwi FATUMA. eti ni fatma mara fetty! Sasa mimi kuwakera nawaita fatuma tena ile ya slow motion minuno kama yote
 
Back
Top Bottom