Kila Mbongo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 308
- 435
Ni kweli....yaani majina ya Neema ndio yametapakaa mtaani!Neema ndio wengi
Halafu ndio jina la..............yenu.
(a)Shemeji
(b)Wifi
Imeeleweka wadau?
Mwanza Shinyanga Na Simiyu ndo usiseme. Si unajua wasukuma hawachagui majina ya Dini? Usukumani akina Ramadhani , Iddi,Rajabu, Shabani na Juma wakristo WaPo wengi vibaya mno. Yani I guess hata Shabani Juma wa Yanga atakuwa msukuma Kwa Sababu akina Shabani Juma usukumani WaPo wengi sana.Ukeinda
Mwanangu kama umefanya utafiti basi umeufanya vibaya. Hata Unguja siyo hivo ukiachilia mbali mikoa kama Ruvuma,Kagera, Mwanza, Mara na hata Arusha, Kilimanjaro na Manyara. Si kweli hata kidogo. Msitake kutusilimisha kinamna hapa.
Kuna majina ni common kila sehemu hukosi ,mfano sisi shule ya msingi darasa moja watu 13 tulikuwa na jina mojaUongo mkuu! Wanawake kumi mmoja ataitwa fatuma? Labda kwenu Daslamu.
Mimi kwetu kijijini kina fatuma hawafiki watano kijiji kizima.
oh, kumbe! kuna familia moja jirani mama anaitwa Fatuma na mtoto wake anaitwa FatimaNi moja ila lafudhi tu
na estherNeema na maria
Ndoto tupu. Hakuna cha utakatifu. Sehemu takatifu ni pale ulipozaliwa na si vinginevyo zaidi ya ukoloni, ulimbukeni na utumwa wa kujitakia.Mwanza Shinyanga Na Simiyu ndo usiseme. Si unajua wasukuma hawachagui majina ya Dini? Usukumani akina Ramadhani , Iddi,Rajabu, Shabani na Juma wakristo WaPo wengi vibaya mno. Yani I guess hata Shabani Juma wa Yanga atakuwa msukuma Kwa Sababu akina Shabani Juma usukumani WaPo wengi sana.
Akina Fatuma kanda ya ziwa WaPo wa kumwaga..
Halafu jina Fatuma/Fateema/Fatima Ni Jina takatifu miongoni mwa wakatoliki..
Kile kitongoji kiitwacho Fatima kilichopo Ureno ambako Bikira Maria aliwatokea Lucia, Francis Na Yasinta was named after Fatma who was the most favourite daughter of Prophet Muhammad , Peace Be Upon Him.
Hujaisikiaga kwaya ya OUR LADY OF FATIMA
Kijijini kwetu kati ya wanawake 10000 hakuna FatumaUongo mkuu! Wanawake kumi mmoja ataitwa fatuma? Labda kwenu Daslamu.
Mimi kwetu kijijini kina fatuma hawafiki watano kijiji kizima.
Kijijini kwetu hayupo hata mmojaUongo mkuu! Wanawake kumi mmoja ataitwa fatuma? Labda kwenu Daslamu.
Mimi kwetu kijijini kina fatuma hawafiki watano kijiji kizima.
Neema sawa..No, at least Neema
12?Unamjua Maria wewe? Hilo jina common sana likifuatiwa na Jackline. Ukitaka kujua majina common tafuta umetembea na wangapi wanafanana majina. Mpaka hapa nimetembea na Jackline watatu wakati overall sijawahi zidi wanawake 12
Amina ndilo jina linaloongozaFatuma
Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma.
The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.
Wewe unawaza mishe za pumbu tu.Unamjua Maria wewe? Hilo jina common sana likifuatiwa na Jackline. Ukitaka kujua majina common tafuta umetembea na wangapi wanafanana majina. Mpaka hapa nimetembea na Jackline watatu wakati overall sijawahi zidi wanawake 12
Jina linaloongoza huku bara ni Mary/ MariamuFatuma
Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma.
The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.
Maria nenda ukuryaniNeema na maria
Hapo umefeli kwani mtaani kwetu hakuna hata mmojaFatuma
Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma.
The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.