Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Binadamu tuna asili ya wanyama kiasi flani. Na tabia nyingi za Wanyama zinahusiana na Binadamu.
Kiasili suala la kulea watoto ni la Wanawake. Ndiyo. Wanaume kazi yao ni kutia mimba halafu wanapaswa waendelee na safari zao. Yaani kama umetoka Dar kwa miguu unaenda Tanga.
Basi wewe kila kijiji ambacho utapumzika. Unakutana na mwanamke. Unamwachia mbegu. Kama ni wakati wa rutuba zitaota kama siyo zitamnenepesha. Then we unaendelea kijiji kingine.
So mpaka ukifika Tanga unakuwa ushapanda mbegu nyingi. Na wakati wa kurudi hivyo hivyo. Ndo inapaswa iwe hivyo. Wewe umewahi ona mbuzi au ng'ombe dume ananyonyesha? Umewahi kuona mnyama dume analea? Siyo kazi yake. Kazi yake yeye ni kupandikiza tu basi.
So wanawake mnapaswa hili mlielewe. Habari ya kusema amenizalisha akaniacha. Si kosa la mwanaume. Labda kama alikubaka. But kama mlitiana hilo ni jukumu lako.yeye alishatimiza wajibu wake na anapaswa aendelee mbele.
Wewe unayezaa kwa uchungu,unazaa kwa uchungu ili uweze kuukumbuka huo uchungu ulee mtoto. Mwanaume yeye akishakutia mimba anakuwa amemaliza. Ameshusha mzigo wake nawe umeupokea. Na ndo maana mbegu zinatoka kwa mwanaume zinaenda kwa mwanamke.
Na ukiangalia style ilivyo ni kuwa mwanamke unatangulia kulala chini jamaa anakuja juu yako. Anamwaga anaamka anaondoka. Nawe unaamka unabaki na mzigo wake.
So mwanaume kulea mimba au mtoto ni majukumu ambayo si yake. Ni nyongeza na pia kumwongezea mzigo asiostahili. Nashauri kila mtu abaki na majukumu yake.
NA KIUKWELI MZAZI HALISI ASIYE NA SHAKA WA MTOTO NI MAMA. BABA INATEGEMEANA TU. WANAUME WENGI WANAITWA BABA NA WATOTO WASIO WAO.
NIMEKAA PALE 👉