Hili ndo jukumu kubwa la Mwanaume Kiasili. Mengine ni kuzidishiwa tu na kupewa Mzigo. Tujitambue

Mtoa mada, umenifanya nicheke sana, sio kwamba naunga mkono unachosema hapana kabisa hata kidogo. Hiki ulichosema Kama Ni fikra na iishie kuwa hivyo but Kama unafanya hivyo aisee Muombe sana Mungu akusamehe na uache kabisa, maana repurcussion yake huwezi kuiona saivi lakin mda ukifika utajuta vibaya sana.
 
Inasikitisha sana... Za kuambiwa changanya na za kwako...
 
utoto raha sana, nguvu na umakini wote huwekwa kwenye uzinzi, kitatungwa kisingizio chochote ili ku support uzinzi
 
Ila ndo ukweli wenyewe.
 
Nimecheka sana kidogo nianguke.
 
Sasa hapo si tutakuwa tumezidiwa akili na njiwa dume mkuu?
Maana naonaga njiwa dume wanawasaidia njiwa kike kukwatamia mayai mpaka pale wanapototoa vifaranga, Tena Kwenye kulisha vifaranga njiwa dume anajukumika.
 
moja kati ya hoja za hovyo kabisa hapa JF .. yaan mtu mzima kabisa wewe unatushawishi wanaume wenzio kuwa waharibifu wa vizazi vyetu wenyewe.. huu upuuzi ulioandika sitakaa fanya.. endelea kuzalisha tu bila mpangilio ukifika age ya 50's utavuna ulichopanda age of 30's.
 
Acha zako ukizalisha jukumu ni lako jombaa
 
Endelea kuwa bwege unalea na mtoto wangu. Usidhani ni siri
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ Mbona unamsema mama yako mzazi vibaya kwa kupewa mimba na baba yako muombe radhi mama yako wewe kwa kuja kumuumbua huku JF 🀭🀭 nikuambie kitu ukiandika haya mambo uwe unamfikiria na kumuweka mbele mama yako mzazi, shangazi, mkeo, bibi, dada na hata Binti yako wa kumzaa hao ni wanawake
 
Ulishawahi kutana na familia iliyokosa malezi ya baba ? na huku baba ana uwezo na mama hana uwezo,zitafute hizo familia uone hali yake.Je tutakutofautisha vip wewe na wanyama? Bilashaka ni kwa vile wewe unavaa nguo, sasa kwanini hautaki wanao wavae nguo nzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…