Hili ndo jukumu kubwa la Mwanaume Kiasili. Mengine ni kuzidishiwa tu na kupewa Mzigo. Tujitambue

Hizi akili hizi!mie ni muhenga lakini Sikubaliani na huu mtazamo wa mwaka 1947
 
Mimi nimeandika nlichoandika wewe kufanya au kutofanya ni juu yako.
 
Halafu kuna mzazi anajivunia kwa majirani kazaa mtoto mwenye akili
 
Dah mkuu kiuhalisia hii kitu inatokea ndo maana kuna wimbi kubwa la single mother [emoji67]‍[emoji480]
 
Hujakamilisha Thread useme kabisa waandikwe ubin wa mama MF Komeo LA Chuma Rosemary!
 
Jamaa anamanisha kwamba, vile mbuzi wanakula, kunya na Kulala kwenye zizi, nasi binadamu tufanye hivyo majumbani kwetu, humohumo chooni tunamokunya ndo tulale na Kula humohumo.
 
Leo nimemsoma binti mmoja nikaona niutafute uzi wa huyu mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…