Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

Hivyo wanyimwe haki zao?
kasome namna Ilivyokuwa mwaka 1948 , kama Liberia na Sierra Leone iliwezekana mwaka 1847 kwann hawa wabaguzi walishindwa kuwapokea wenzao mwaka 1948 ? hlf mnawatetea wabaguz ? sijui mpk wawabagueni na nyinyi
 
Ukifuata historia utajichanganya kwenye mengi.

Na ikiwa hiyo ndiyo mizani yako hata hii Tanzania itapasuliwe vipande kwa sababu hata kabla ya Bartolomeu Dias kuja kwenye huu ukanda hii nchi ambayo kwa sasa inaitwa Tanzania sehemu ya hii nchi ilikuwa ni sehemu ya dola za tawala nyengine.
unachanyanya mafile hatuzungumzii utawala bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika
 
Hua nikisoma maandiko Kama haya, ninaishia kucheka yaani MUNGU awaruhusu, waisraeli kuangamiza mataifa mengine bila sababu.

Hivi vitabu msipende kuvisoma kwa kuongozwa na hisia, sababu kina mapungufu mengi sana.
kasome story za dola kama za persia hata dola nyingine za jiran utajifunza mengi
 
Tuliza kicha tafakari hili swali

Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya miaka 100 waarabu wangerudi kwenye ardhi yao ya Mecca, Je waisreal wangewakatalia kwamba hio sio ardhi yao kwasababu wameishi miaka 100 na wana hati za ardhi walizouziwa na wagiriki ?
Wewe ni nani mpaka uipiganie Israel?
Hivi kati ya mfereji wa suez na safari ya hawa wana wa Israel kutoka Misri ni kipi kilanza?
 
Kanaani ndio nchi waliyopewa wayahudi, waisrael na Mungu wao baada ya kutoka Misri.

Kabla hawajaingia ktk ile nchi, wakiongozwa na Yoshua mwana wa nuni baada ya Musa kufa. Mungu aliwaambia wana wa Israel, mtakapoingia ktk hiyo nchi, waangamizeni wenyeji wote.

Wana wa Israel wakaacha wakanaani na wengine pia. Mungu alikasirika, akawaambia wana wa Israel, hayo mataifa mliyoacha kuyaangamiza yote. Hakika yatakuwa kama mwiba ktk maisha yenu yote.

Palestina ni kama mwiba ktk maisha yote ya Taifa la Israel, na hiyo ni nchi halali kabisa ya Israel sababu Baba yao Ibrahim alikaa hapo na aliimiliki hata.

Baada ya Ibrahim kufa, wakaja watu wengine kuishi hapo, hiko ndicho kipindi cha wana wa Israel walipokuwa utumwani kwa miaka 430 nchini Misri.
Mkuu,nina swali kwako,nalo ni;
Kati ya Suez canal na safari ya wana wa Israel kutoka Misri ni kipi kilianza?
 
Udini, uislam, mara yaccoub, mara yushaa, mara Jacob, mara Joshua dah ujinga ujinga mwingi tu, wenye shida sana ni waislam hawa watu uwa nashindwa kuwaelewa kabisa
 
Hua nikisoma maandiko Kama haya, ninaishia kucheka yaani MUNGU awaruhusu, waisraeli kuangamiza mataifa mengine bila sababu.

Hivi vitabu msipende kuvisoma kwa kuongozwa na hisia, sababu kina mapungufu mengi sana.
Ujue mkuu,mimi kabla majibu ya swali la wale akina dada wa Kiislamu la ya kwamba wao wataoana na akina nani ikiwa buana zao watapewa bikira 72 kila mmoja hayajapatikana.

Mimi nina swali jingine pia,nalo ni;
Kati ya Suez canal na safari ya wana wa Israel kutoka Misri ni kipi kilianza?

Labda km nakosea lkn ninahisi Palestine na Israel zote zinapakana na Misri,hata km hazipakani lkn kabla ya Suez canal hapa hapakuwa na haja ya kutumia fimbo kutawanya bahari ya sham maana njia ilikuwepo.

Majibu ya swali tafadhari kwanza naomba.
 
Sikia, ile ardhi ni ya wazaramo. Hawa wanaojiita sijui waisrael au wapalestina hata sielewi wametoka wapi
Mtu anaishi Tukuyu na mwingine Tandahimba mna ongea in details habari za ardhi iliyopo huko middle east....na bendera za nchi hizo mnapeperusha....utasema mmerogwa
 
Labda twende kwenye mfano halisi kwa sababu naona logic unataka kuiweka kando.

Ushahidi wa kihistoria mamlaka ya zanzibar yana maeneo mpaka huku kwetu bara.

Unafahamu kuwa Kigamboni ni ya Zanzibar? Na haikuishia hapo, mpaka bandari ya bara Dar es Salaam ni ya wazanzibar. Upo tayari kuwapa eneo lao?

Wazanzibar wakidai hayo maeneo kwa kitumia huo ushahidi wa kihistoria upo tayari kuwapa hayo maeneo?
Swali zuri sana.
 
Israel ni taifa limeasisiwa mwaka 1948 wala sio la kale kihivyo, mleta mada anazungumzia taifa la palestine na hapa ndipo msingi wa mzozo upo, hiyo israeli hata babu yangu ameitangulia zaidi ya miaka 40.
Unajua nini kati ya Birth na Rebirth?.
Mimi ni naongelea birth wakati wewe unaongelea rebirth.
Ninaushaidi wa kihistoria, kitheolojia na kiaklojia unaobakup madai yangu.
Ngoja nitumie ushahidi wa kitheolojia:- the winged creature Buraq, brought by the angel Gabriel, carried Muhammad from Mecca to Jerusalem.
Muhammad anaenda Jerusalem karne 6 wewe unasema babu yako ni mkubwa kuliko Israel.
Ebu, nichagulie wa kumuamini, kati yako na Muhammad ni yupi msema kweli?.
 
Unataka kuniambia hao Waisrael walitoka utumwani 1940s' ?, miaka yote hiyo walikuwa wakiishi wapi? Usichanganye Israel iliyoandikaa kwenye hivyo vitabu vyenu na hii iliyoioundwa kimkakati
Hivi, hao waisrael kwa mujibu wako/wenu kwao ni wapi hasa?.
Mbona mnawajidili as if walishuka tu toka angani wakaangukia mashariki ya kati.
Kwao ni wapi?
 
Unajua nini kati ya Birth na Rebirth?.
Mimi ni naongelea birth wakati wewe unaongelea rebirth.
Ninaushaidi wa kihistoria, kitheolojia na kiaklojia unaobakup madai yangu.
Ngoja nitumie ushahidi wa kitheolojia:- the winged creature Buraq, brought by the angel Gabriel, carried Muhammad from Mecca to Jerusalem.
Muhammad anaenda Jerusalem karne 6 wewe unasema babu yako ni mkubwa kuliko Israel.
Ebu, nichagulie wa kumuamini, kati yako na Muhammad ni yupi msema kweli?.
Sasa mbona hapo imetajwa alienda Jerusalem na si Israel? Zingatia kwamba Jerusalem ni mji ulioko ndani ya ardhi ya Palestine.
Mimi ni Msabato,ukileta udini kwenye hili jambo huna tofauti na wale wanao wakandia Arabs kwa kimvuli cha udini,na hiki ndicho kilichopo mpaka kesho. Acheni ngiriba za kuwakandamiza wa Arab kwa misingi za udini kwa7bu ni matajiri.

Na huu upuuzi nauona sana makanisani kwetu huku kisa njama za wamagharibi kuwa na chuki dhidi ya Warabu. Jitautieni uhuru wenu binafsi.
 
Unajua nini kati ya Birth na Rebirth?.
Mimi ni naongelea birth wakati wewe unaongelea rebirth.
Ninaushaidi wa kihistoria, kitheolojia na kiaklojia unaobakup madai yangu.
Ngoja nitumie ushahidi wa kitheolojia:- the winged creature Buraq, brought by the angel Gabriel, carried Muhammad from Mecca to Jerusalem.
Muhammad anaenda Jerusalem karne 6 wewe unasema babu yako ni mkubwa kuliko Israel.
Ebu, nichagulie wa kumuamini, kati yako na Muhammad ni yupi msema kweli?.
Tumepishana kiswahili tu, mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake alipokwenda hiyo safari mpaka hapo msikiti wa aqswa ndio palestine yenyewe ninayoisemea, hayo ya rebirth yamekuja tu ila hapa tunazungumzia ardhi takatifu katika palestine.
 
Hivi, hao waisrael kwa mujibu wako/wenu kwao ni wapi hasa?.
Mbona mnawajidili as if walishuka tu toka angani wakaangukia mashariki ya kati.
Kwao ni wapi?
Jibu kwanza hayo niliyouliza ili nikutafunie hayo maswali yako. Ila tambua kabla ya 1940s' hakuna ramani iliyoonyesha uwepo wa hilo Taifa ila ni mchongo wa watu wachache tu waliotengeneza hiyo drama kwa mikakati yao maalum.
Huwa nasikitika kuona wapuuzi wengi wakiweka bendera za hilo Taifa katika nyumba zao, vyombo vya usafiri na hata kwenye ofisi zao wakiamini wanajiunganisha na Mungu kiimani wakati ni moja kati ya mkakati wenye machukizo kuliko yote kama ukiwekwa hadharani.
Rejea hata ziara nyingi za Wakuu wa Kanisa Catholic Duniani, kwanini mara nyingi hufikia kwenye ardhi ya Palestina na sio Israel.
Fuatilia pia ni nani aliyekuwa kinara wa kuratibu mpango wa Palestina kupokonywa kiti katika Umoja wa Mataifa na kishinikiza Israel ndiyo ipewe kiti katika Umoja huo.
Tunaishi katika Dunia ya giza yenye siri nyingi sana
 
Hiyo kabla ya hakukuwa na taifa fulan ni hoja yenye kibyongo. G
Hata 1891 kurudi nyuma hakukua na nchi inayoitwa Tanganyika sasa sijui why kwa upande wa Israeli unapata hoja.
Turudi kwenye swali langu:- hao waisrael, kwao ni wapi kabisa!! mbona wanajadiliwa as if walishuka toka mawinguni tu wakafikia hapo middle east. Why jamii zote ziwe na maeneo yao ya asili but ikifika kwa waisrael inaonekana wameibuka tu from no where around 1949's?.
 
Tumepishana kiswahili tu, mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake alipokwenda hiyo safari mpaka hapo msikiti wa aqswa ndio palestine yenyewe ninayoisemea, hayo ya rebirth yamekuja tu ila hapa tunazungumzia ardhi takatifu katika palestine.
Please, niletee Aya inayoonyesha Mtume Muhammad alipokwenda Jerusalem alikwenda kwa wapalestina na sio wayaudi wa hapo Israel.
Nb: kuna dalili zote kuwa umeshanichagulia upande wa kuamini kati yako na mtume Muhammad.
Inaonekana maelezo ya mtume yanakasoro ila yako yapo clear.
Lete verse.
Nilisema nina vyanzo vingi vinavyoback up madai yangu.
Historia, theolojia na akilojia.. Nimekupa ushahidi wa kitheolojia ila unataka kuukataa,unaukataa si kwasababu ushahidi huo una kasoro bali unaukataa kwa hila zako unazozijua wewe. Kharifa wa kwanza Umar anatembelea Israel anakuta Wayaudi na wakristo wewe hapa unasema kulikuwa na wapalestina!!.
Hivi unajua Mahamudu Abasi ni mtu wa Misri?.
 
Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika

Tuliza kicha tafakari hili swali

Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya miaka 100 waarabu wangerudi kwenye ardhi yao ya Mecca, Je waisreal wangewakatalia kwamba hio sio ardhi yao kwasababu wameishi miaka 100 na wana hati za ardhi walizouziwa na wagiriki ?
ile ardhi tunasema ni ya waisrael sio kwasababu waliuziwa au kulowea pale, ni kwasababu Mungu aliwapa kama urithi wa vizazi vyao vyote, ndio maana wengi wapo Marekani, wapo nchi nzuri za ulaya ambako kuna maisha bora kuliko israel, lakini wanarudi Israel kwa sababu Biblia (Torah) inavyo vifungu vinavyoonyesha aliwapa wao iwe ya kwao. ni wanadamu pekee ambao Mungu mwenyewe aliyeumba dunia hii aliwapa specific area kuwa mali yao.

ushahidi upo, makaburi ya wafalme wao yapo hadi leo, makaburi ya ibrahim, Daudi, suleiman, na wengi sana yapo. pia hekalu ambalo suleiman alilijenga na ambalo lilikuwepo hata kipindi cha Yesu mabaki yake yapo hadi leo, pale kwenye weiling wall (ukuta wa kilio), ila wakati wa crusades waislam/ottoman waliwapiga wakristo wakavunja hekalu hilo na kujenga ule msikiti. ule msikiti haujajengwa na muhamad saw, ila hekalu ambalo Yesu aliabudi yaani lile lilijenga miaka 40 akawaambia atalivunja ajenge kwa siku 3 lipo hadi leo ndio pale wanaendaga kugusa matofali na kulia lia. ila huo msikini hata haukuwepo kipindi cha muhamad hivyo wapalestina au niseme waislam hakuna chochote wanakidai pale.
 
Please, niletee Aya inayoonyesha Mtume Muhammad alipokwenda Jerusalem alikwenda kwa wapalestina na sio wayaudi wa hapo Israel.
Nb: kuna dalili zote kuwa umeshanichagulia upande wa kuamini kati yako na mtume Muhammad.
Inaonekana maelezo ya mtume yanakasoro ila yako yapo clear.
Lete verse.
Nilisema nina vyanzo vingi vinavyoback up madai yangu.
Historia, theolojia na akilojia.. Nimekupa ushahidi wa kitheolojia ila unataka kuukataa,unaukataa si kwasababu ushahidi huo una kasoro bali unaukataa kwa hila zako unazozijua wewe. Kharifa wa kwanza Umar anatembelea Israel anakuta Wayaudi na wakristo wewe hapa unasema kulikuwa na wapalestina!!.
Hivi unajua Mahamudu Abasi ni mtu wa Misri?.
Mkuu usinigombanishe na mtume muhammad bhana wala hilo halitowezekana, ninachokisema ni hiki mtoa mada amezungumza mambo ya asili, na mimi nikajibu kuwa asili ya watu wa hapo ni wakanaani na hili ni kabila la kiarabu.

Ama kuhusu mambo ya yerusalem mimi nimepinga kuwa umar radhi za allah ziwe juu yake hakukabidhiwa funguo na viongozi wa watu wa kitabu?! mzozo hapa sio waliokutwa ila mimi nimesema nchi ni palestine na hata kwenye kiarabu huitwa filistine, huu tu ndo mzozo mengine yote ni sawa ila nchi ya israeli imeanza juzi kati tu ardhi inayogombaniwa miaka yote ni ardhi ya palestine.

Kinachotokea ni wakati gani wayahudi wanakuwa na nguvu na wakati gani waislamu wanakuwa na nguvu.
 
ile ardhi tunasema ni ya waisrael sio kwasababu waliuziwa au kulowea pale, ni kwasababu Mungu aliwapa kama urithi wa vizazi vyao vyote, ndio maana wengi wapo Marekani, wapo nchi nzuri za ulaya ambako kuna maisha bora kuliko israel, lakini wanarudi Israel kwa sababu Biblia (Torah) inavyo vifungu vinavyoonyesha aliwapa wao iwe ya kwao. ni wanadamu pekee ambao Mungu mwenyewe aliyeumba dunia hii aliwapa specific area kuwa mali yao.

ushahidi upo, makaburi ya wafalme wao yapo hadi leo, makaburi ya ibrahim, Daudi, suleiman, na wengi sana yapo. pia hekalu ambalo suleiman alilijenga na ambalo lilikuwepo hata kipindi cha Yesu mabaki yake yapo hadi leo, pale kwenye weiling wall (ukuta wa kilio), ila wakati wa crusades waislam/ottoman waliwapiga wakristo wakavunja hekalu hilo na kujenga ule msikiti. ule msikiti haujajengwa na muhamad saw, ila hekalu ambalo Yesu aliabudi yaani lile lilijenga miaka 40 akawaambia atalivunja ajenge kwa siku 3 lipo hadi leo ndio pale wanaendaga kugusa matofali na kulia lia. ila huo msikini hata haukuwepo kipindi cha muhamad hivyo wapalestina au niseme waislam hakuna chochote wanakidai pale.
Msikiti gani ambao haukuwepo? huo msikiti wa aqswa ni msikiti wa kale umetanguliwa tu na baytul haraam pale ilipo al kaaba tukufu, na hata mtume swala na salaam ziwe juu yake alifika kwenye msikiti huo wakati wa uhai wake na ndio ilipo ardhi takatifu.

Hao wana wa israeli hawakupewa hiyo ardhi milele bali ardhi hiyo watakaa watu wachamungu na hiyo ndio ahadi ya allah, hata hao wapalestina kwa sasa wamekuwa wanyonge kwasababu ya kuacha misingi ya dini yao.
 
Jibu kwanza hayo niliyouliza ili nikutafunie hayo maswali yako. Ila tambua kabla ya 1940s' hakuna ramani iliyoonyesha uwepo wa hilo Taifa ila ni mchongo wa watu wachache tu waliotengeneza hiyo drama kwa mikakati yao maalum.
Huwa nasikitika kuona wapuuzi wengi wakiweka bendera za hilo Taifa katika nyumba zao, vyombo vya usafiri na hata kwenye ofisi zao wakiamini wanajiunganisha na Mungu kiimani wakati ni moja kati ya mkakati wenye machukizo kuliko yote kama ukiwekwa hadharani.
Rejea hata ziara nyingi za Wakuu wa Kanisa Catholic Duniani, kwanini mara nyingi hufikia kwenye ardhi ya Palestina na sio Israel.
Fuatilia pia ni nani aliyekuwa kinara wa kuratibu mpango wa Palestina kupokonywa kiti katika Umoja wa Mataifa na kishinikiza Israel ndiyo ipewe kiti katika Umoja huo.
Tunaishi katika Dunia ya giza yenye siri nyingi sana
Yes mzozo ni palestine hii habari ya israeli ni ya juzi tu.
 
Back
Top Bottom