Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

Israel ni miongoni mwa Ancestor countries, kaka zake ni akina Mesopotamia, Misri etc na wakazi wake ni hao hao hadi leo. Babylon, Kemit, Mesopotamia etc ndiyo Nchi zenye haki ya kuhoji uhalali wa Israel na mipaka yake. Wakazi wa hizo nchi wangelikuwepo na wakwanza challenge uhalali wa Israel watakuwa na hoja ya msingi si Nchi kama Tanzania ambayo ina miaka 60 na Ushee et inahoji uhalali wa taifa la Israel wakati Israel ime-exit karibia na zama za dinosaur(joke).

Ingelikuwa ni Binadamu, tungeliomba Israel iachwa ipumzike maana imepitia mengi kuliko taifa lolote lile.
Israel ni Babu wa kingdoms za kale zaidi, Inasikitisha kuikosea adabu.
Israel ni taifa limeasisiwa mwaka 1948 wala sio la kale kihivyo, mleta mada anazungumzia taifa la palestine na hapa ndipo msingi wa mzozo upo, hiyo israeli hata babu yangu ameitangulia zaidi ya miaka 40.
 
Kanaani ndio nchi waliyopewa wayahudi, waisrael na Mungu wao baada ya kutoka Misri.

Kabla hawajaingia ktk ile nchi, wakiongozwa na Yoshua mwana wa nuni baada ya Musa kufa. Mungu aliwaambia wana wa Israel, mtakapoingia ktk hiyo nchi, waangamizeni wenyeji wote.

Wana wa Israel wakaacha wakanaani na wengine pia. Mungu alikasirika, akawaambia wana wa Israel, hayo mataifa mliyoacha kuyaangamiza yote. Hakika yatakuwa kama mwiba ktk maisha yenu yote.

Palestina ni kama mwiba ktk maisha yote ya Taifa la Israel, na hiyo ni nchi halali kabisa ya Israel sababu Baba yao Ibrahim alikaa hapo na aliimiliki hata.

Baada ya Ibrahim kufa, wakaja watu wengine kuishi hapo, hiko ndicho kipindi cha wana wa Israel walipokuwa utumwani kwa miaka 430 nchini Misri.
Hapa umetudanganya mkuu.
 
Nyie ambao mnaliwa na bwana yesu
Mkuu usitukane watu kwasababu wao watamtukana muumba wa mbingu na ardhi, jibu watu kwa hoja na ufafanuzi wakinaishe watu kwa hoja, ama matusi na kulipiza tusi kwa tusi wakati huyo unayemtaja ni mtume miongoni mwa mitume, huku ni kuikosea adabu dini ya kiislamu, sisi hatukulelewa kutukana watu bali kuwabainishia na wakitaka wafuate wakitaka waache.
 
Kelele za Free Palestine nyingi nizamlengo kidini.
Nikupe taarifa tu kama ni mvivu wa kusoma kuwa Wapalestina wakristo na waislamu ni asilimia hawakupishana sana.

Na wao ni wakristo orginal siyo ya kupitia Rome wala Ujerumani. Hanaan Ashrawi aliyekuwa mke wa Arafat ni mkristo wakati Arafat mwenyewe alikuwa muislamu.

Hiyo homa ya udini munajipaka nyinyi watetezi wa Israel musiotambuliwa
 
Tuliza kicha tafakari hili swali

Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya miaka 100 waarabu wangerudi kwenye ardhi yao ya Mecca, Je waisreal wangewakatalia kwamba hio sio ardhi yao kwasababu wameishi miaka 100 na wana hati za ardhi walizouziwa na wagiriki ?

Unataka kuniambia hao Waisrael walitoka utumwani 1940s' ?, miaka yote hiyo walikuwa wakiishi wapi? Usichanganye Israel iliyoandikaa kwenye hivyo vitabu vyenu na hii iliyoioundwa kimkakati
 
Kwa misingi hiyo Wahindu wakisema kwa mujibu wa vitabu vyao vya kidini mungu wao amewaambia Tanzania ni nchi yao ya ahadi watanzania wote kuanzia sasa hamna haki na nchi yenu wewe utakubali kuondoka kwenye hii ardhi na kumuachia Mhindu hii nchi?
Kwani wahindi ardhi yao ya asili ni Tanzania.

vitu vingine jiongeze tu mkuu
 
Hao wahindu waliishi Tanzania kabla ya wakazi weusi wa sasa hivi?
 
Kwani wahindi ardhi yao ya asili ni Tanzania.

vitu vingine jiongeze tu mkuu
Mstari wa kwanza wa maandishi yako umeweka nukta (.)
Unashadadia au muktadha ulikuwa unataka kuuliza swali? Yaani; badala ya kutaka kuweka alama ya kiulizo (?) kwa bahati mbaya ukaweka alama ya nukta (.)

Liweke sawa hilo kisha turudi kwenye mada.
 
Hao wahindu waliishi Tanzania kabla ya wakazi weusi wa sasa hivi?
Labda twende kwenye mfano halisi kwa sababu naona logic unataka kuiweka kando.

Ushahidi wa kihistoria mamlaka ya zanzibar yana maeneo mpaka huku kwetu bara.

Unafahamu kuwa Kigamboni ni ya Zanzibar? Na haikuishia hapo, mpaka bandari ya bara Dar es Salaam ni ya wazanzibar. Upo tayari kuwapa eneo lao?

Wazanzibar wakidai hayo maeneo kwa kitumia huo ushahidi wa kihistoria upo tayari kuwapa hayo maeneo?
 
Back
Top Bottom