Hili ongezeko la wanawake kunyoa panki/denge/kiduku ni kwamba ma-sponsor wamegoma kulipia za kusuka?

Kwaiyo we unaishi kuwafuatiliza wa marekani?...

Wewe ndo wale watu unaishi dunia inavyotaka.. Na sio unavyopenda wewe
 
Mbona kapendeza vizuri sana especially huyu wa kwenye picha
 


Huu ni uongo uliotukuka aisee.

Mfano mzuri: Meagan Good
 
Safiii...tusindikize na kapicha tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23]

wengine wananyoa ili wapake superblack kuficha mvii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani jamani, mbona hiyo unapaka hata kama una nywele ndefu.

Ila mie kweli napaka kuficha mvi.
 
Hapana

Ni kwasababu ya Wema Sepetu...kuna wadada role model wao huyo so wanajitahidi kuwa kama yeye katika fashion

Halafu inatakiwa ifike muda kichwa kipumzike
Nimepapenda mwishoni!
 
Wanaume hata hawajui nini wanataka.
Wanaume hawajawahi kupenda au kuvutiwa na mawigi mkuu! Sisi wanaume ni wanafiki sana mkuu lazime tuwaridhishe kwa kauli mnazopenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…