Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo we unaishi kuwafuatiliza wa marekani?...Kabla hujasifia hiyo staili ya kunyoa na kueka kamstari hivo waulize wamarekani maana yake nini.
Mwanamke kule akinyoa hivo kule ni utambulisho kwamba ye ni mdau wa mapenzi ya jinsia moja(kusagana)
Na kuona anamaanisha hilo kamwe hutomwona akisuka wala kubandika wigi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Demu akiwa nankichwa kizuri akinyoa anapendeza sana..
Tatizo wengine wananyoa lakin vichwa vyao kama box la condom
Wanaume hata hawajui nini wanataka.Tumevaa mawigi mmetusema, tumeamua kunyoa mnatusema pia.
WanaboaWanaume hata hawajui nini wanataka.
Kwahili nawatetea kabisaaa Bora hiyo kuliko wigi la bluu[emoji3][emoji3]Tumevaa mawigi mmetusema, tumeamua kunyoa mnatusema pia.
Mbona kapendeza vizuri sana especially huyu wa kwenye pichaMaana ukija hapa Mwenge ninaposhinda akina dada wanaokuja kununua nguo/viwalo ama unaweza sema, yaani wameonekana kwa idadi ya kutosha kabisa wakiwa wamekata nywele kwa ule mtindo pendwa wa denge/kiduku/panki kama wenyewe tusemavyo.
Hii ni ishara kwamba wanaume wameacha kutoa fedha za kusukia.
I'm off
.View attachment 1100563
wewe umenyoa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anakuona.
Mwaka wa 6 huu.wewe umenyoa?
Safiii...tusindikize na kapicha tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka wa 6 huu.
Kabla hujasifia hiyo staili ya kunyoa na kueka kamstari hivo waulize wamarekani maana yake nini.
Mwanamke kule akinyoa hivo kule ni utambulisho kwamba ye ni mdau wa mapenzi ya jinsia moja(kusagana)
Na kuona anamaanisha hilo kamwe hutomwona akisuka wala kubandika wigi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safiii...tusindikize na kapicha tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23]
wengine wananyoa ili wapake superblack kuficha mvii
Wewe si za ukoo tu hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani jamani, mbona hiyo unapaka hata kama una nywele ndefu.
Ila mie kweli napaka kuficha mvi.
Eti za ukoo[emoji134][emoji134]Wewe si za ukoo tu hizo
Acha ubahiliNa bado tu, watanyoa hadi viparaa
Si haramuKiingiacho mjini....
Nimepapenda mwishoni!Hapana
Ni kwasababu ya Wema Sepetu...kuna wadada role model wao huyo so wanajitahidi kuwa kama yeye katika fashion
Halafu inatakiwa ifike muda kichwa kipumzike
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Acha ubahili
Wanaume hawajawahi kupenda au kuvutiwa na mawigi mkuu! Sisi wanaume ni wanafiki sana mkuu lazime tuwaridhishe kwa kauli mnazopendaWanaume hata hawajui nini wanataka.