Hili ongezeko la wanawake kunyoa panki/denge/kiduku ni kwamba ma-sponsor wamegoma kulipia za kusuka?

Hili ongezeko la wanawake kunyoa panki/denge/kiduku ni kwamba ma-sponsor wamegoma kulipia za kusuka?

684ce86262b9587ec806b96b67b4549c.jpg

4280818-shaved-hairstyles-for-women-.jpg
 
Kabla hujasifia hiyo staili ya kunyoa na kueka kamstari hivo waulize wamarekani maana yake nini.

Mwanamke kule akinyoa hivo kule ni utambulisho kwamba ye ni mdau wa mapenzi ya jinsia moja(kusagana)
Na kuona anamaanisha hilo kamwe hutomwona akisuka wala kubandika wigi
Kwaiyo we unaishi kuwafuatiliza wa marekani?...

Wewe ndo wale watu unaishi dunia inavyotaka.. Na sio unavyopenda wewe
 
Maana ukija hapa Mwenge ninaposhinda akina dada wanaokuja kununua nguo/viwalo ama unaweza sema, yaani wameonekana kwa idadi ya kutosha kabisa wakiwa wamekata nywele kwa ule mtindo pendwa wa denge/kiduku/panki kama wenyewe tusemavyo.

Hii ni ishara kwamba wanaume wameacha kutoa fedha za kusukia.

I'm off

.View attachment 1100563
Mbona kapendeza vizuri sana especially huyu wa kwenye picha
 
Kabla hujasifia hiyo staili ya kunyoa na kueka kamstari hivo waulize wamarekani maana yake nini.

Mwanamke kule akinyoa hivo kule ni utambulisho kwamba ye ni mdau wa mapenzi ya jinsia moja(kusagana)
Na kuona anamaanisha hilo kamwe hutomwona akisuka wala kubandika wigi

Huu ni uongo uliotukuka aisee.

Mfano mzuri: Meagan Good
 
Safiii...tusindikize na kapicha tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23]

wengine wananyoa ili wapake superblack kuficha mvii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani jamani, mbona hiyo unapaka hata kama una nywele ndefu.

Ila mie kweli napaka kuficha mvi.
 
Hapana

Ni kwasababu ya Wema Sepetu...kuna wadada role model wao huyo so wanajitahidi kuwa kama yeye katika fashion

Halafu inatakiwa ifike muda kichwa kipumzike
Nimepapenda mwishoni!
 
Wanaume hata hawajui nini wanataka.
Wanaume hawajawahi kupenda au kuvutiwa na mawigi mkuu! Sisi wanaume ni wanafiki sana mkuu lazime tuwaridhishe kwa kauli mnazopenda
 
Back
Top Bottom