trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Pamoja mkuu, ukishakuwa mzazi wa watoto wa kike kuna mambo unajifunza mno. Nina mabinti wawili natamani sana kuwalea katika malezi ambayo wasipitie mambo niliyopitia mama yao.Mkuu wewe ndo umeelewa ni nini nilitamani kusikia , nashukuru sanaa kwa ufafanuzi wako.
Moja wapo ikiwa ni uhuru wa kutosha nikiwa chuo, ule uhuru kama mzazi hajakaza kamba huwa tunautumia vibaya mno matokeo yake tunakuja kuharibikiwa na kuzalisha familia ya mzazi mmoja ( single parent). Muelewe tuu mama mkwe wako mtarajiwa she wants the best kwa binti yake.