Hili suala la nembo kwa jezi mpya ya Yanga ipoje?

Utopolo bwana, hivi unaweza kuchezea logo ya brand ya mtu hovyo unavyotaka?
Umeelewa nini hapa wewe Mbumbumbu kijana [emoji116]
IMG_20230131_110533.jpg
 
Yanga hawana legal counsel, yani ni club inayojiendesha kienyeji hawaelewi kuwa Total wanaweza kuwaburuza kizimbani na kuwalipa mabilioni ya hela kwa kuchezea logo yao.

Unafikiri Total anatoa kiasi gani kwa CAF halafu wapuuzi fulani wachezee tu brand ya kimataifa kwa utopolo wao?
Mwanasheria wa Yanga aliposhindwa kesi ya Morrison akapewa assistant legal counsel wa ICC.
Do your research.
 
CAF waikatae hiyo jezi. Yanga kuikataa rangi nyekundu ni ushamba na ukosefu wa akili timamu
Nchi ya Mazezeta hii, inakuwa vipi tupangiane rangi ilihali wengine hata rangi nyekundu mithili ya jezi za Makolokolo FC ni kichefuchefu na kuhisi tunawakilisha Wanyonya damu wa miaka ya 1990?

Utofauti una ladha yake pia amkeni ninyi Mbumbumbu...[emoji57]
 
Wamechora Gold wakati hawajawahi pata kombe
 
Nchi ya Mazezeta hii, inakuwa vipi tupangiane rangi ilihali wengine hata rangi nyekundu mithili ya jezi za Makolokolo FC ni kichefuchefu na kuhisi tunawakilisha Wanyonya damu wa miaka ya 1990?

Utofauti una ladha yake pia amkeni ninyi Mbumbumbu...[emoji57]
Utofauti isiharibu brand ya mdhamini
 
Yanga hawana legal counsel, yani ni club inayojiendesha kienyeji hawaelewi kuwa Total wanaweza kuwaburuza kizimbani na kuwalipa mabilioni ya hela kwa kuchezea logo yao.

Unafikiri Total anatoa kiasi gani kwa CAF halafu wapuuzi fulani wachezee tu brand ya kimataifa kwa utopolo wao?
Kuna timu hata hizo nembo haziweki na sijaona CAF wakiwafanya lolote
 
Yanga hawana legal counsel, yani ni club inayojiendesha kienyeji hawaelewi kuwa Total wanaweza kuwaburuza kizimbani na kuwalipa mabilioni ya hela kwa kuchezea logo yao.

Unafikiri Total anatoa kiasi gani kwa CAF halafu wapuuzi fulani wachezee tu brand ya kimataifa kwa utopolo wao?
sikia logo kabla haijachapishwa hupelekwa kwa wote wanaohusika kwa approval
 
Tulizeni vichwa, mleta mada ajibiwe uzi uwe closed...

Sasa naona raia mnaanza kuvimbishiana vifua...
 
Back
Top Bottom