Hili suala la nembo kwa jezi mpya ya Yanga ipoje?

Hili suala la nembo kwa jezi mpya ya Yanga ipoje?

Ndo ujue level za Akili za viongozi yangu ngazi ya vijiji hadi kwenye uongozi wa mpira, yahani Rangi inakufanya unashindwa kutimiza terms of contract, wakati izo ni pesa....very poor decision...
 
Kwa kuweka nembo ya mdhamini mwingine kwenye jezi ya Yanga kwenye mashindano ya CAF kwa kweli mmnaenda kupora haki za main sponsor, na mmnaenda kumpunguzia dhamani yake kwa ujumla km Main sponsor(Sports pesa).
 
Kwanza unajua kama jezi ingekuwa plain tu. Sportpesa na makampuni mengine yote ya kubeti hayapaswi kukaa kwenye jezi za timu zaidi ya kampuni moja tu ya 1xbet endapo timu zikifuzu hatua ya makundi. Hivyo jezi ya Yanga isingekuwa na sportpesa kifuani
 
Kwa hiyo kwa Tanzania hizi rangi huambatana na MAFUNGAMANO YA KISHETANI.
 
Umeona wapi club ina lazimishwa rangi ya jezi
Huna ujualo kumbuka ligi ya England mdhamini wa ligi alikua standard chartered bank logo yao ni blue na kijani lakini Liverpool waliweka logo Ile Ile ila rangi nyekundu na nyeusi mtu unatoa maoni kwa mkumbo na chuki bila kujua unacho sema mradi na wewe uonekane unajua kumbe unaungua na jua. Majuha wapo wengi bora mjinga kuliko Juha.
 
Ni lini Standard Chartered alidhimini EPL? unasema wenzako majuha kumbe wewe ndio juha kubwa
 
Kweli watu bongo kichwani hamna, kwani wewe ulivyowaza au ulivyofikiria kuhusu jezi unadhani viongozi wa Yanga hawajui hao yote? Acha ujuaji mzee sio unajua wewe tuu.
 
Nimeona jezi halisi, logo ya total energies ipo vile vile haijabadilishwa rangi. Ila tu jezi za kwenye picha ni tofauti na za kuona kwa macho. Nimebahatika kuona za rangi ya blue ni tofauti na zinaonekana kwenye picha
 
Kwa hiyo kwa Tanzania hizi rangi huambatana na MAFUNGAMANO YA KISHETANI.
Ni ujinga tu. Leo hii Yanga na Simba wote wanavaa blue ila juzi tu ukivaa shati jekundu kwenye jukwaa la Yanga ilikuwa nongwa.
 
Back
Top Bottom