Hili suala la nembo kwa jezi mpya ya Yanga ipoje?

Mwanasheria wa Yanga aliposhindwa kesi ya Morrison akapewa assistant legal counsel wa ICC.
Do your research.
 
CAF waikatae hiyo jezi. Yanga kuikataa rangi nyekundu ni ushamba na ukosefu wa akili timamu
Nchi ya Mazezeta hii, inakuwa vipi tupangiane rangi ilihali wengine hata rangi nyekundu mithili ya jezi za Makolokolo FC ni kichefuchefu na kuhisi tunawakilisha Wanyonya damu wa miaka ya 1990?

Utofauti una ladha yake pia amkeni ninyi Mbumbumbu...[emoji57]
 
Wamechora Gold wakati hawajawahi pata kombe
 
Utofauti isiharibu brand ya mdhamini
 
Kuna timu hata hizo nembo haziweki na sijaona CAF wakiwafanya lolote
 
sikia logo kabla haijachapishwa hupelekwa kwa wote wanaohusika kwa approval
 
Tulizeni vichwa, mleta mada ajibiwe uzi uwe closed...

Sasa naona raia mnaanza kuvimbishiana vifua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…