Hili suala la nembo kwa jezi mpya ya Yanga ipoje?

Ngoja niwacheck kwa email niwape hii naweza kula ganji kutokana na faini watayotoa utopolo.😅
 
Wanajifanya color blind 😅😅😅 watabadili tu
 
Mmetafuta sababu za kukosoa jezi mmekosa mmetafta logo ilimradi tu mpate ahueni
Sasa kwa taarifa yako huyo designer wenu tapeli tu. Hiyo designing siyo kazi yake. NI COPY AND PASTE kutoka kwa timu za watu huko duniani.
Watu wameingia chimbo na kubaini kuwa hiyo ya dark blue ni CP kutoka jezi ya Getafe. Ataumbuka mtu mwaka huu🙈🙈🙈
 
Okay, umenufaika nini?
 
Unamtumia main sponsor, mnajadiliana..


Yeye ndo anaapprove mzee.

Ni maombi unayatuma kwa sponsor .
Umeandika kana kwamba una uhakika huo mchakato umefanyika. Unaweza kuta hizo process haikuweza kuzingatiwa na viongozi
 
Huku Afrika watu wengi ni waswahili na ujinga huu utapokelewa tu na hutaona chochote kinatokea.

Yanga kujiapiza kwa rangi ni sababu ya masharti ya kichawi na kwa hiyo huenda wameshapiga ramli na kuona hawatachukuliwa hatua yoyote.



Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wale mashabiki Utopolo kule mtaani ndio hawa tupo nao humu. Unategemea majibu gani zaidi ya kejeli bila kuficha upumbavu wao
 
Ungejifunza ku mind your own business
 
Getafe jezi Yao nakuwekea hapa wala haifanani na hiyo ya Young Africans, ogopa utapeli mzee kuwa makini, wahuni wameamua kuiedit hiyo jezi na kuifanya ifanane na jezi ya YANGA Ila ni tofauti..sasa mnakurupuka tu kila kinachopostiwa mnakubali bila kufanya fact checking..
 
Kwani Ule msimu waliotinga makundi
Walivaa logo yenye rangi gani? Au mdhamini alikua sio huyo yanga wajua wanachokifanya mlevi apotei njia
Mdhamini alikuwa huyo huyo total energies lakini Yanga hakubadili rangi ya logo walivaa rangi zile zile nyekundu kama logo ilivyo.
 

Attachments

  • MAKAMBO NA KASEKE.jpg
    184.5 KB · Views: 5
MA UTOPOLO WANACHEZEA BLAND KUBWA KAMA TOTAL ENERGY WATAPIGWA FAINI KALI MNO.
 
Badilisha rangi ya damu yako iwe ya kijani ili uwe free zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…