Ndo ujue nyinyi walimu ni watu wa muhimu sana japokuwa mnachukuliwa poa sanaMbona mnatuandama akina-mpwa
Hamuwasemi walinzi, mamalishe, bodaboda,n.k ni sisi tu [emoji23]
Sana tena sana MkuuInasikitisha sana
Cc Babu Tale😁Yaani nchi hii ina maajabu sana.
Wanaofanya kazi sana, ndo wanalipwa kidogo ilhali wanaofanya kazi ndogo (kama wabunge Walio wengi ambao kazi yao ni kupiga makofi tu, kusinzia na kushabikia mambo ya hovyo) wanalipwa maradufu!
Wengi wamo bungeni kutetea matumbo yao tuWABUNGE SIO WATETEZI WA WANANCHI BALI WAPO BUNGENI KUPIGANIA MASLAHI YAO
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
aka Dk....!Cc Babu Tale😁
Kwani wanalipwa posho shilling ngapi?Wengi wamo bungeni kutetea matumbo yao tu
Si chini ya 300k kwa siku ambayo haina kodi/makato Mkuu.Kwani wanalipwa posho shilling ngapi?
Tofautisha dharau na utetezi.Kwa hiyo walimu ndio walishakuwa kipimo cha kila kitu hapa nchini. Muwe na heshima na acheni dharau kwa walimu.
Swali langu na hoja yangu ni kuwa wapo watumishi wa kada ngapi hapann nchini? Kwanini kila siku mifano ni lazima itolewe kwa walimu pekee?Tofautisha dharau na utetezi.
Kwani kwa ufahamu wako, kima cha chini cha mshahara wa Mwl ni kiasi gani kwa mwezi?