- Thread starter
- #41
Njaa hudhoofisha uwezo wa kufikiriIla Walimu nao wajitambue, si ndio wao wanachangia fedha ya form [emoji28][emoji28] ila hii nchi ina watu fulani hivi ambao mindset zao zimeyumba kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa hudhoofisha uwezo wa kufikiriIla Walimu nao wajitambue, si ndio wao wanachangia fedha ya form [emoji28][emoji28] ila hii nchi ina watu fulani hivi ambao mindset zao zimeyumba kidogo
ExactlyRais samia ingilia hapa. Walim wapate posho kama 120000 kwa mwezi
Iitwe. Transport allowance
House allowance nakadhalika you can do this mama
Aliyekuwa anapokea 733000 iwe 733000 plus 120,000 isikatwe kodi.
Awe anaondoka Kesh 380000 plus 120000= 500000 take home utanishukuru
Kwa hiyo uongozi siyo wito?!Watakwambia ualimu ni wito.
Mwacheni apumzike.Magufuri ndiye alieharibu utaratibu wa nyoneza mishahara kwa watumishi wa umma.
Labda ni kwa sababu hujajua posho wanazolipana BOT na TANAPA, labda utaona Wabunge wana afadhali. Hii nchi inajua kutoa posho.Salaam wapenzi wana JF.
Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa.
Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima.
Siyo sawa kabisa.
Ahsanteni.
Kama wewe ndio Mwalimu nafikiria vijana unaowazalisha upeo wao ukoje?Kwa hiyo walimu ndio walishakuwa kipimo cha kila kitu hapa nchini. Muwe na heshima na acheni dharau kwa walimu.
Twende tukagombee ubunge mkuu. Aliye juu mfuate.Mzee Kinana anasema “wabunge wetu wanalipwa pesa kidogo sana”
MISHAHARA YA WABUNGE NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA HALI YA JUU KABISA TANZANIA.
Suala la Mishahara ya Wabunge analoliongea @HecheJohn linaumiza roho sana.
Mwalimu wa Tanzania mwenye TGTS D1 mwenye mshahara take home 531,000 kwa mwezi, akifanya kazi kwa miaka 38 atalipwa shilingi 242,136,000 (milioni 242).
MBUNGE wa Tanzania kwa mwaka mmoja analipwa shilingi 240,300,000 (milioni 240 bila posho za kamati).
Yani mwalimu wa Tanzania mwenye degree analazimika kufanya kazi kwa miaka 38 ili aweze kupata malipo anayopewa mbunge wake (ANAYETAKIWA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA TU) kwa mwaka mmoja tu. Ndio uzalendo huu?
YANI IPO HIVI,
Mbunge anayelala tu bungeni analipwa;
Jumla kwa mwaka mmoja ni sh. 240,300,000 (milioni 240, hii haihusishi posho za kamati za kudumu).
- Posho za vikao kwa mwaka ni sh. 42,300,000 (milioni 42.3)
- Mshahara na marupurupu kila mwezi 16,500,000 × miezi 12 = 198,000,000 (milioni 198).
Kwa miaka mitano, mbunge wa Tanzania analipwa 1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.
TUCHANGANUE MALIPO YA MBUNGE VIZURI
Sitting Allowance - 220,000
Per Diem - 250,000
Jumla kila siku mbunge analipwa 470,000/= (haijalishi ameongea au lah).
Mshahara na marupurupu kwa mwezi - 16,500,000/=
Mshahara wa mbunge kwa mwaka mmoja ni shilingi 198,000,000 (milioni 198).
Mshahara wa mbunge kwa miaka mitano ni shilingi 990,000,000 (milioni 990).
Bado kila baada ya miaka mitano huyu mbunge analipwa kiinua mgongo milioni Mia mbili (200,000,000).
Vikao vya Bunge
Kikao cha Januari 31 - Feb 10 = siku 11
Kikao cha bajeti April 4 - June 30 = siku za vikao 59
Mkutano wa tisa wa bunge mwaka 2022 Nov 1-11 = siku 10
Mkutano wa nane kuanzia Sept 13-23 = siku 10
Jumla ya siku za vikao vya bunge ni siku 90.
Siku 90 za vikao × 470,000 = 42,300,000
42,300,000 za vikao × miaka 5 = 211,500,000
JUMLA KWA MIAKA MITANO
1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.
TUANGALIE MSHAHARA WA MWALIMU KWA MIAKA MITANO
Mwl. mwenye TGTS D1 mshahara wake basic ni shilingi 771,000 kwa mwezi, ukitoa makato, take home ya mwalimu huyu no shilingi 531,000.
Mshahara wa huyu mwalimu kwa mwaka 531,000 × miezi 12 = 6,372,000 mara miaka mitano = 31,860,000 (huu ni mshahara wa Mia I miwili wa mbunge).
Kwa miaka 38 mwalimu analipwa 6,372,000 * 38 = 242,136,000 (sawa na mshahara wa mwaka mmoja wa mbunge).
Huyu mwalimu akidai nyongeza ya mshahara anaambiwa "KUWA MZALENDO." Kama sio wizi huu ni nini????
Wakati mbunge wa Tanzania anaogelea kwenye bwawa la utajiri wa kodi za walala hoi, mtoto wa mtanzania maskini anashindwa kujengewa hata choo cha tundu kwenye shule yake; hata dawati la shilingi elfu 50 tu limeshindikana; hata kitabu cha elfu kumi tu imeshindikana.
IFIKE MAHALI TUACHE HUU UFALA WA
KUENDELEA KUFUMBIA MACHO UDHALIMU WAKATI TUNAOUMIA NI SISI NA WATOTO WETU. MABADILIKO YA KWELI YATAKUJA PALE WATU WA CHINI TUTAKAPOSIMAMA KUPINGA UDHALIMU.
By mama naa
Sasa huko c ndo wanaofaidi cake ya taifa enyewe.Labda ni kwa sababu hujajua posho wanazolipana BOT na TANAPA, labda utaona Wabunge wana afadhali. Hii nchi inajua kutoa posho.
Ova
Si Bora awe anapiga Tako tatu, wengine naskia wanapelekewa wao wenyewe Moto,just imagine,anapelekewa moto huku balance inasomaSheria wanatunga wao, posho wanajipitishia wao, afu mtu analipwa posho hata bungeni hajafika, akaunti inasoma tu mtu yupo lodge anapiga Tako tatu
Wabunge wapo 393 jumla, walimu idadi yao inacheza kwenye million kasoro. Haiwezekani kulipwa sawa.Mzee Kinana anasema “wabunge wetu wanalipwa pesa kidogo sana”
MISHAHARA YA WABUNGE NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA HALI YA JUU KABISA TANZANIA.
Suala la Mishahara ya Wabunge analoliongea @HecheJohn linaumiza roho sana.
Mwalimu wa Tanzania mwenye TGTS D1 mwenye mshahara take home 531,000 kwa mwezi, akifanya kazi kwa miaka 38 atalipwa shilingi 242,136,000 (milioni 242).
MBUNGE wa Tanzania kwa mwaka mmoja analipwa shilingi 240,300,000 (milioni 240 bila posho za kamati).
Yani mwalimu wa Tanzania mwenye degree analazimika kufanya kazi kwa miaka 38 ili aweze kupata malipo anayopewa mbunge wake (ANAYETAKIWA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA TU) kwa mwaka mmoja tu. Ndio uzalendo huu?
YANI IPO HIVI,
Mbunge anayelala tu bungeni analipwa;
Jumla kwa mwaka mmoja ni sh. 240,300,000 (milioni 240, hii haihusishi posho za kamati za kudumu).
- Posho za vikao kwa mwaka ni sh. 42,300,000 (milioni 42.3)
- Mshahara na marupurupu kila mwezi 16,500,000 × miezi 12 = 198,000,000 (milioni 198).
Kwa miaka mitano, mbunge wa Tanzania analipwa 1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.
TUCHANGANUE MALIPO YA MBUNGE VIZURI
Sitting Allowance - 220,000
Per Diem - 250,000
Jumla kila siku mbunge analipwa 470,000/= (haijalishi ameongea au lah).
Mshahara na marupurupu kwa mwezi - 16,500,000/=
Mshahara wa mbunge kwa mwaka mmoja ni shilingi 198,000,000 (milioni 198).
Mshahara wa mbunge kwa miaka mitano ni shilingi 990,000,000 (milioni 990).
Bado kila baada ya miaka mitano huyu mbunge analipwa kiinua mgongo milioni Mia mbili (200,000,000).
Vikao vya Bunge
Kikao cha Januari 31 - Feb 10 = siku 11
Kikao cha bajeti April 4 - June 30 = siku za vikao 59
Mkutano wa tisa wa bunge mwaka 2022 Nov 1-11 = siku 10
Mkutano wa nane kuanzia Sept 13-23 = siku 10
Jumla ya siku za vikao vya bunge ni siku 90.
Siku 90 za vikao × 470,000 = 42,300,000
42,300,000 za vikao × miaka 5 = 211,500,000
JUMLA KWA MIAKA MITANO
1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.
TUANGALIE MSHAHARA WA MWALIMU KWA MIAKA MITANO
Mwl. mwenye TGTS D1 mshahara wake basic ni shilingi 771,000 kwa mwezi, ukitoa makato, take home ya mwalimu huyu no shilingi 531,000.
Mshahara wa huyu mwalimu kwa mwaka 531,000 × miezi 12 = 6,372,000 mara miaka mitano = 31,860,000 (huu ni mshahara wa Mia I miwili wa mbunge).
Kwa miaka 38 mwalimu analipwa 6,372,000 * 38 = 242,136,000 (sawa na mshahara wa mwaka mmoja wa mbunge).
Huyu mwalimu akidai nyongeza ya mshahara anaambiwa "KUWA MZALENDO." Kama sio wizi huu ni nini????
Wakati mbunge wa Tanzania anaogelea kwenye bwawa la utajiri wa kodi za walala hoi, mtoto wa mtanzania maskini anashindwa kujengewa hata choo cha tundu kwenye shule yake; hata dawati la shilingi elfu 50 tu limeshindikana; hata kitabu cha elfu kumi tu imeshindikana.
IFIKE MAHALI TUACHE HUU UFALA WA
KUENDELEA KUFUMBIA MACHO UDHALIMU WAKATI TUNAOUMIA NI SISI NA WATOTO WETU. MABADILIKO YA KWELI YATAKUJA PALE WATU WA CHINI TUTAKAPOSIMAMA KUPINGA UDHALIMU.
By mama naa
Mbunge akiwa bungeni ndipo huweza kutimiza majukumu yake ya kazi. Bunge ni sehemu yake ya kazi kama ilivyo kwa mwalimu akiwa shuleni.Salaam wapenzi wana JF.
Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa.
Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima.
Siyo sawa kabisa.
Ahsanteni.
Sitaki kutetea sana, Ila twende kwenye majukumu, mbunge anawakilisha jimbo la uchaguzi na kutunga sheria za nchi, mwalimu anafundisha masomo mawili au matatuSalaam wapenzi wana JF.
Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa.
Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima.
Siyo sawa kabisa.
Ahsanteni.
Mkuu huo ni mpango mkakati wa serikali wa kuwanunua Wabunge ili waunge mkono hoja zake.Hii ilikuwa wazi sana katika swala la DP World.Kimsingi wananchi tuna hali mbaya sana, tuliyedhani ni mtetezi wetu katugeuka na sasa ana collude na our enemy kutumaliza.Inatisha sana.Salaam wapenzi wana JF.
Leo nimeamua kuwasilisha hii kero ya ukosefu wa usawa linapokuja suala la kufaidi keki ya Taifa.
Yaani haiingii akilini kabisa kwa mbunge kulipwa pesa ya posho ya siku moja ambayo ni kubwa zaidi kuliko mshahara wa Mwalimu wa mwezi mzima.
Siyo sawa kabisa.
Ahsanteni.
Walimu pia wanafanya kazi kidogo sana ukilinganisha na wafagia barabara, wachanganya zege, wapishi wa chakula cha wanafunzi, wakulima, n.kYaani nchi hii ina maajabu sana.
Wanaofanya kazi sana, ndo wanalipwa kidogo ilhali wanaofanya kazi ndogo (kama wabunge Walio wengi ambao kazi yao ni kupiga makofi tu, kusinzia na kushabikia mambo ya hovyo) wanalipwa maradufu!
Na nasikia kuna wanaotaka idadi iongezwe kila jimbo liwe na wabumge wawili wa kike na kiume ikiwa na maana bunge litakuwa na wabunge kama 800. Tz kweli channel ya vichekeshoSalaam wapenzi wana JF.