Hili suala limenishangaza sana

Hili suala limenishangaza sana

contask

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2021
Posts
780
Reaction score
1,579
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye huzi;
Leo nimetoka Kigamboni kuelekea Kariakoo kwa usafiri wa daladala, cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao walionekana wanatumia X,XR,11 plain na pro,

Swala ambalo lilinistua na kunistaajabisha na kufikiria kwamba iphone ni sare za vikoba kwa wamama,mabinti na vijana.

#uzi tayari
 
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye huzi;
Leo nimetoka kigamboni kuelekea kariakoo kwa usafiri wa daladala,cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao walionekana wanatumia X,XR,11 plain na pro,

Uzi tyr
 
Unajaza Seva za maxence melo.
 
mazingira ya kibiashara nchini Tanzania yamekua bora zaidi na hali ya maisha na vipato vya wananchi vimeongezeka mara dufu.

hiyo ni ishara kwamba hali ya kipato cha mwanainchi mTanzania moja moja inakua na uchumi wa sayansi na technolojia Tanzania unakua na kushamiri vizuri kuendana na wakati 🐒
 
Mkuu we ndo umetoa comment ambayo imekaa kisomi zaidi na sio kiswahali.

Hilo ni sahihi mkuu,

Nilikutana na mmama anauza vitumbua mkononi ameshika samsung z fold 5
 
Back
Top Bottom