Hili suala limenishangaza sana

Hili suala limenishangaza sana

Ina maana aliingia askari jeshi kutoka Navy hapo Kigamboni a katoa amri... Kila mtu atoe simu yake mfukoni/mkoani na aiamshe juuu. Ndiyo na wewe mkuu ukafanya sensa.
Hapana mkuu walikua wamezishika wanaperuzi peruzi
 
Sio takataka mkuu ila ni mapenzi ya mtu,mimi sijawahi ipenda.
Shida ni vile wenye nayo wanajitahidi kuonekana wanayo!
samsung inakufaa mkuu maana inatumiwa na wenye akili timamu
 
Asilimia 90 ya gari inamaanisha ni abiria karibia wote. Kwahiyo ulikuwa na kazi ya kuangalia simu ya kila abiria? Kuwa kila abiria alikuwa anatumia simu yake akiwa kwenye daladala kiasi cha wewe kuweza kuziona.
 
Asilimia 90 ya gari inamaanisha ni abiria karibia wote. Kwahiyo ulikuwa na kazi ya kuangalia simu ya kila abiria? Kuwa kila abiria alikuwa anatumia simu yake akiwa kwenye daladala kiasi cha wewe kuweza kuziona.
Zilikua zipo mikononi na macho hayana pazia
 
Swala na Simba hawaivani kabisa....
Ila suala na jambo wanaendana sana
 
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye huzi;
Leo nimetoka kigamboni kuelekea kariakoo kwa usafiri wa daladala,cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao walionekana wanatumia X,XR,11 plain na pro,

Swala ambalo lilinistua na kunistaajabisha na kufikiria kwamba iphone ni sare za vikoba kwa wamama,mabinti na vijana.

#uzi tayari
Mind your own business,sasa watumie Tecno ama infinix? Kama yako?
 
Back
Top Bottom