Hili suala limenishangaza sana

Hili suala limenishangaza sana

Mkuu 3/4 ya wanafunzi wa IFM,Chuo cha Mwl.Nyerere na Chuo cha Magogoni wanakaa kigamboni-hivyo weekend wengi wanaenda karikaooo kutembea.
Wanafunzi wengi hasa mabinti ni malimbukeni kwenye simu za iPhone wapo radhi wabadilishe tecno kwa fundi ionekane ina macho 3 na wengine wenye uwezo kidogo wanaenda makumbusho kuchukua zile refurbished kutoka Dubai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji12] eeh?!!
Unatakiwa kuwa na shape gani?
Mi km unavyojua shemejio kimbaumbau km mwiko wa pilau, mbele sichezi, nyuma sitikisiki..!! [emoji1787][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
mi simu yangu ni sawa na zako 6 mkuu
Kila mtu atumie yake,na amind business Za yeye,mimi natumia OKING kitochi,3M niweke kwenye simu wakati nanunua compressor,welder,drill,jigsaw,table saw;rotor,circular sawa nanina fungua workshop,siwezi nununueni matajiri
 
Ukiskia mtu anakwambia bora akose kula kuliko kukosa bando kwenye simu ndyo hii mkuu.
 
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye huzi;
Leo nimetoka Kigamboni kuelekea Kariakoo kwa usafiri wa daladala, cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao walionekana wanatumia X,XR,11 plain na pro,

Swala ambalo lilinistua na kunistaajabisha na kufikiria kwamba iphone ni sare za vikoba kwa wamama,mabinti na vijana.

#uzi tayari
....Nyingine Sio Iphone...ni Ipone !!!...kuwa macho!
 
Kila mtu atumie yake,na amind business Za yeye,mimi natumia OKING kitochi,3M niweke kwenye simu wakati nanunua compressor,welder,drill,jigsaw,table saw;rotor,circular sawa nanina fungua workshop,siwezi nununueni matajiri
nalo wazo mkuu,tatizo uliposema nimind my bussiness kwenye vitu vinavyoonekana mi mbona sikua na shida mkuu
 
Hizo simu zote ni za zamani, enzi za Magufuli rais.

iPhone X (2017) used ata Laki 3.5 unapata.

iPhone XR (2018) used ata haivuki 400k.

iPhone 11 (2019) used haivuki 500k na Pro yake 650k.

Kusema kweli iPhone atleast kuanzia iPhone 12 kwenda juu ndio zipp advanced.

Izo za nyuma hamna cha ziada zaidi ya iMessage. Zingine ata iOS18 hazipati.
 
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom