Hili suala limenishangaza sana

Hili suala limenishangaza sana

Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye huzi;
Leo nimetoka Kigamboni kuelekea Kariakoo kwa usafiri wa daladala, cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao walionekana wanatumia X,XR,11 plain na pro,

Swala ambalo lilinistua na kunistaajabisha na kufikiria kwamba iphone ni sare za vikoba kwa wamama,mabinti na vijana.

#uzi tayari
Inamaana ulizinguka gari zima kukagua kila mmoja simu anayoitumia?

Chai
 
Back
Top Bottom