Uzi tyrHabari wakuu
Moja kwa moja kwenye huzi;
Leo nimetoka kigamboni kuelekea kariakoo kwa usafiri wa daladala,cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao walionekana wanatumia X,XR,11 plain na pro,
Swala ambalo lilinistua na kunistaajabisha na kufikiria kwamba iphone ni sare za vikoba kwa wamama,mabinti na vijana.
#uzi tayari
Unajaza Seva za maxence melo.Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye huzi;
Leo nimetoka kigamboni kuelekea kariakoo kwa usafiri wa daladala,cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao walionekana wanatumia X,XR,11 plain na pro,
Swala ambalo lilinistua na kunistaajabisha na kufikiria kwamba iphone ni sare za vikoba kwa wamama,mabinti na vijana.
#uzi tayari
mazingira ya kibiashara nchini Tanzania yamekua bora zaidi na hali ya maisha na vipato vya wananchi vimeongezeka mara dufu.Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye huzi;
Leo nimetoka kigamboni kuelekea kariakoo kwa usafiri wa daladala,cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao walionekana wanatumia X,XR,11 plain na pro,
Swala ambalo lilinistua na kunistaajabisha na kufikiria kwamba iphone ni sare za vikoba kwa wamama,mabinti na vijana.
#uzi tayari
Mkuu we ndo umetoa comment ambayo imekaa kisomi zaidi na sio kiswahali.mazingira ya kibiashara nchini Tanzania yamekua bora zaidi na hali ya maisha na vipato vya wananchi vimeongezeka mara dufu.
hiyo ni ishara kwamba hali ya kipato cha mwanainchi mTanzania moja moja inakua na uchumi wa sayansi na technolojia Tanzania unakua na kushamiri vizuri kuendana na wakati 🐒