Hili suala limenishangaza sana

Kabla hatujawapa kuvuta huwa tunawauliza mmeshawahi kuvuta kabla? Mnatudanganya kuwa na nyie ni wavutaji wazoefu ona sasa uzi unazoleta.
 
Dar kuwa na I phone ni swala la kawaida saaana ..kuna mikoa ukienda ukiisahau chaji basi iyo siku utapata tabu sana ..all in all kwangu ni simu ya kimama sana

Samsung shareholder
Tuko pamoja mkuu samsung ni ya wachache.
 
Dar kuwa na I phone ni swala la kawaida saaana ..kuna mikoa ukienda ukiisahau chaji basi iyo siku utapata tabu sana ..all in all kwangu ni simu ya kimama sana

Samsung shareholder
Bora kampuni imeamua kuweka USB-C port kwenye hardware zao including simu zao. Ilikuwa shida sana.
 
Copy izo wewe,k.koo laki 3
 
Kigamboni kwetu kwa kishua umefata nn? Rudi goba huko kwa kina Lamomy wanaopaka mousuf
 
Acha ujingaujinga.
 
Hata huwa nashindwa mnaipendea nini,
Huwa nacheka sana ukiwa sehemu bongo maraia wanajaribu kukuonesha simu sana sana iPhone,
Kwanza nikiwa bongo ninanunua katululu,wueeh stress free ukiwa mizunguko yako,nani akuibie kabambe!
Siku hizi nikiona mtu amebeba simu tatu naisha na kicheko,inakaa funny.
 
Ina maana aliingia askari jeshi kutoka Navy hapo Kigamboni a katoa amri... Kila mtu atoe simu yake mfukoni/mkobani na aiamshe juuu. Ndiyo na wewe mkuu ukafanya sensa.
 
Sasa umestaajabu nini???
 
Acha ujingaujinga.

Iphone takataka sio😁
 
Mkuu 3/4 ya wanafunzi wa IFM,Chuo cha Mwl.Nyerere na Chuo cha Magogoni wanakaa kigamboni-hivyo weekend wengi wanaenda karikaooo kutembea.
Wanafunzi wengi hasa mabinti ni malimbukeni kwenye simu za iPhone wapo radhi wabadilishe tecno kwa fundi ionekane ina macho 3 na wengine wenye uwezo kidogo wanaenda makumbusho kuchukua zile refurbished kutoka Dubai.
 
Nayo point mkuu , lakini pia hadi mijimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…