Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

Kwako wewe mshahara mnono unaanzia sh' ngapi?
Mkuu acha ubishi usiokua na maana mabank teller mishahara yao ni hii hii laki 9 laki 8 sasa huo ni mshahara mnono? Au kisa yupo bank? Sasa kama huo ni mnono na mameneja wa TPA, BOT,TTCL mishahara yao tuiite vp? Nb: sina tafsiri ya mshahara mnono ni upi ila nakataa kua bank teller ana mshahara mnono.
 
Mie nawaambia ni mtu wa kusajili LINE..

Mara nyingi wanakataa wanasema nadanganya.. na mimi huwa sibadirishi usemi.

Kama atakuja kunitembelea kwangu basi nitahakikisha kila document, ID mavazi etc vinakuwa hidden.

Otherwise ataishia sebleni.. sipend watu wajue nafanya nini hapa mjini. Ni mbaya.
 
Ni ujinga kufikiri kwamba mtu kuwa na kazi nzuri ndio atakupa wewe pesa ...
Kila mtu anazopesa na kila mtu unatafuta pesa swala ni pesa zako unazitumia vipi mkuu kuna watu wako na pesa mingi ila kumpa mwanamke ni ndoto ...
Ila kuna wale ambao kuhonga kwao ni tabia hata kama hana atakopa au auze hata kitu akupe
 
Back
Top Bottom