Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

Mbona hilo la kawaida, kuna moja unsulizwa kwa mahutiano yetu mwisho wake ni nn?
 
Hayo ndo madhara ya kuchukua namba ovyo mtu humjui ushamuomba 0754/0654/0692 mwisho wa siku kipengele cha kujuana ikiguswa kipengele cha kinachokupa mkate wako wa Kila siku unaanza kupanick!

Binafsi hua siulizwi hlo swali maana wengi wa ninaokutana nao hadi kufikia stage ya kudate ni wale wale ambao nakutana nao kwenye nachokifanya
 
Vipi kama ukimjibu kama majibu ta Ziro IQ kuwa ni mchakata Mbu...s maarufu🀣🀣🀣
 
Hayo maswali sijawahi ulizwa hata siku moja kutokana na personal appearence.

Maswali ambayo hukumbana nayo ni: ...'umenambia unanipenda, lengo lako ni nini haswa'?...
Akiuliza hilo swali, ninamgaragaza kwa majibu ya uongo pamoja na ukweli kamchanganyikeni hadi anang'ata kucha.
 
Na sisi wanawake tunaoulizwa hilo swali wanatakaga kujua nini?

Binafsi sikumbuki kuuliza hilo swali kwa mtu yeyote hata wa humu tunayefahamiana sijawahi. Mtu mwenyewe tu anajikuta ameshaanza kueleza.
Nimeshangaa pia,
Katika swali sijawahi uliza mtu ni hilo, unluckily wanaoongoza kuuliza ni baadhi ya wanaume, mmoja PM baada ya kumuambia Mimi ni mkulima akanipotezea mazima..!!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah. Bank teller ana mshahara gani mnono wa kumzidi mtu wa M&E labda? Unless binti awe hana analolijua. Kuna vi NGO huku mtaaani vinatoa mpaka 10M take home
 
Nimeshangaa pia,
Katika swali sijawahi uliza mtu ni hilo, unluckily wanaoongoza kuuliza ni baadhi ya wanaume, mmoja PM baada ya kumuambia Mimi ni mkulima akanipotezea mazima..!!πŸ˜‚πŸ˜‚
Hili swali wote tunaulizwa, Kwahiyo tuvumiliane tu uhuni tumefundisha wenyewe.

Inabidi uwe mstaarabu sana ili usimuulize, na ni ile mi husema, as time goes nitajua tu kazi yake. Haraka za nini?

Ila bro Eva kanifundisha kuwa ni kujikatia bima katika hayo mahusiano, Kwahiyo na sisi tuanze kuuliza hili swali tafadhali πŸ˜‚

Kwahiyo bibi shamba ukapotezewa?
 
Dah. Bank teller ana mshahara gani mnono wa kumzidi mtu wa M&E labda? Unless binti awe hana analolijua. Kuna vi NGO huku mtaaani vinatoa mpaka 10M take home
Kaka msichana wa vikindu ndani ndani au mvuti utamwambia M&E ataelewa? Itabidi umuweke kabisa chini umpe introduction kwanza labda atapata mwanga.

Kupunguza mambo mengi we mwambie ni bank teller, kila mtu anaenda bank anawajua ma bank teller πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…