Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hatari sanaUkiona mwanajeshi anamgomea kiongozi wake kwenda vitani ina maana ni muasi, na dawa ya muasi inajulikana.
Huo ndio ubaya wa jeshi mkubwa akisema ni imeisha hiyo.
Kwa hiyo ni bora uende kwenye kifo?Order ikitoka kwa mkuu utakiwi kupinga kanuni namba moja
Kwa hiyo uko tayari, mtu mwingine apotee, ili wewe uendelee kufurahia maisha?Kwahiyo MWANAJESHI akiwa hivyo kuwa akiona vita aache kwenda we utalindwa na Nani Na pia unataka turudi utumwani tumilikiwe na taifa x namana adui akija kwako atamfanya mke wako anavyotaka watoto wako na Mali zako pamoja na ww mwenyew
Utafanya Nini unafikiri kama sio kutii amriKwa hiyo ni bora uende kwenye kifo?
Wangelijua yatakayotokea, wangefanya shughuli zingineUtafanya Nini unafikiri kama sio kutii amri
Kweli mkuuWangelijua yatakayotokea, wangefanya shughuli zingine
Umefikiria point kubwa mkuu.....[emoji123][emoji123][emoji23][emoji23]Hii dunia unahitaji akili sana iwapo haupo kwenye kundi la watawala. Whoever created system ya binadamu ya discpline walikuwa na akili kubwa sana sababu tungeuana mpaka tuishe. Imagine kiongozi wako anayepata kila kitu na watoto wapo salama anatoa amri uache familia na watoto wako uende ukapigane.
Inahitaji umakini mkubwa katika kufikiriaHii dunia unahitaji akili sana iwapo haupo kwenye kundi la watawala. Whoever created system ya binadamu ya discpline walikuwa na akili kubwa sana sababu tungeuana mpaka tuishe. Imagine kiongozi wako anayepata kila kitu na watoto wapo salama anatoa amri uache familia na watoto wako uende ukapigane.
Ina maana ukishajiunga tu, unapewa taratibu zote?Unajua adhabu ya deserters? Kifo!
Kama yeye sahizi anavyofurahia mshahara na posho zinazotokana na Kodi yanguKwa hiyo uko tayari, mtu mwingine apotee, ili wewe uendelee kufurahia maisha?