Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.
Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.
Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.