Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Umenena vyema mkuuKwanza ujue mwanajeshi si raia ila raia anaweza kuwa mwanajeshi na si kila raia anaweza kufuzu kuwa mwanajeshi. Inachukua mafunzo ya kipekee sana kumbadirisha raia kuwa mwanajeshi. Swali lako umeuliza kiraia ndiomana unashangaa inakuwaje amri inapotoka wanajeshi wanatii bila kupinga.
Just know that It takes special trainings to turn a civilian to be a SOLDIER and once a soldier will always be a soldier.
Unatafuta kosa ili ufukuzwe, ili usiende vitaniJeshi ni ndoa ya kudumu. Labda ujifanye chizi
Kazi ya ujeshi ni ya kujitolea sadaka.Kwa hiyo ni bora uende kwenye kifo?
Mwanajeshi anaweza kuacha kazi jeshini. Usisubiri mpaka vita itokee ndio uache, hiyo itakuwa uasi.Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.
Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.
Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
Hataki asile kiapo akalime NYANYA ntoleIna maana ukishajiunga tu, unapewa taratibu zote?
Kwa hiyo, hakuna cha bure?Kiapo kiapo kiapo
Ukila mshahara na posho zao lazima vitani uende!
Kwa mazingira hayo, wengi tutakuwa tunajiunga kutokana na changamoto za ajiraHataki asile kiapo akalime NYANYA ntole
Kwa nchi zenye machafuko, wengi wataogopa kuanzisha familia na hii kada, kwa sababu lolote linaweza kutokea na kubaki yatimaOnce I'm soldier always I'm soldier
I was born to be soldier i will die as a soldier View attachment 2359249
Itahitaji ujuzi wa hali ya juu wa kusoma alama za nyakati, ili kunusurikaMwanajeshi anaweza kuacha kazi jeshini. Usisubiri mpaka vita itokee ndio uache, hiyo itakuwa uasi.
Wewe apo upo tayar mwenzio aangamie kwa ajili ya kutetea maisha yako?Utafanya Nini unafikiri kama sio kutii amri
Kwa ubinafsi wa kibinadamu, ataona sawa tuWewe apo upo tayar mwenzio aangamie kwa ajili ya kutetea maisha yako?
Kuna kozi ya miezi 6 ya kufutwa Uraia... Hapo ukimaliza kuruta ... Elimu yako inakuchagua kwenda kozi ya Cadet au ubaki Hapo... na mule ndio tunaaamza kutafutwa ... Nilikataaa... Na sitaki... I got plenty of my family lost on this snitching staged espionage ...Kwa mazingira hayo, wengi tutakuwa tunajiunga kutokana na changamoto za ajira
Hatari sana, kwa hiyo kwa wale walioko vitani na wakazidiwa na kukimbia, kwao inakuwaje?Kuna kozi ya miezi 6 ya kufutwa Uraia... Hapo ukimaliza kuruta ... Elimu yako inakuchagua kwenda kozi ya Cadet au ubaki Hapo... na mule ndio tunaaamza kutafutwa ... Nilikataaa... Na sitaki... I got plenty of my family lost on this snitching staged espionage ...
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.
Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.
Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
Kwenye maandiko, kuna mfalme mmoja alimtuma askari wake aende vitani, akiwa na lengo akafie huko, ili aweze kutembea na mkeweHili swali kwa kiasi fulani limekaa ki’mbumbumbu, samahi kwa hilo neno nililotumia. Inabidi utambue kila mtu hapa ulimwenguni yupo kwa kusudi flani/maalumu. Na ukijua kusudi lililokuleta hutaogopa hatari yoyote. Kwahiyo unapomuona mwanajeshi wa kweli alieapa kuilinda nchi yake ujue ujeshi wake haukuanzia hapo ulipomuona kuna wengine walionekana tangu wakiwa wadogo kwahiyo si rahisi kuwaza kibinafsi kiasi cha kikimbia vita eti kisa anaogopa kufa na hapa sizungumzii wale wa mchongo.
Labda niende mbele zaidi kwa mawazo hayo ndo maana kuna wanaume wanaukana uanaume wao kisa pesa, hebu tafakari kwenye ishu ya mama kujifungua kuna uwezekano wa mtu kufa lakini kuna mama anatamani kwa hali yoyote abebe ujauzito bila kujali hatari ya kupoteza maisha kwenye kujifungua na sisi akina baba wala hatushiriki kwa lolote pale mama anapojifungua, hiyo tunaita mgawanyo wa majukumu. Ukizaliwa mwanaume pambana kama mwanaume hivyohivyo kwa mwanamke na ukijiona kusudio lililokuleta ni jeshi basi usiogope vita kama ni dereva usiogope ajali na kada nyingine yoyote maana tunajidanganya na kujifariji tu ila ukweli hakuna alie salama hapa duniani. Daaah inatosha nimeandika sana.
Sawa sojaKwanza ujue mwanajeshi si raia ila raia anaweza kuwa mwanajeshi na si kila raia anaweza kufuzu kuwa mwanajeshi. Inachukua mafunzo ya kipekee sana kumbadirisha raia kuwa mwanajeshi. Swali lako umeuliza kiraia ndiomana unashangaa inakuwaje amri inapotoka wanajeshi wanatii bila kupinga.
Just know that It takes special trainings to turn a civilian to be a SOLDIER and once a soldier will always be a soldier.