Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

Kwanza ujue mwanajeshi si raia ila raia anaweza kuwa mwanajeshi na si kila raia anaweza kufuzu kuwa mwanajeshi. Inachukua mafunzo ya kipekee sana kumbadirisha raia kuwa mwanajeshi. Swali lako umeuliza kiraia ndiomana unashangaa inakuwaje amri inapotoka wanajeshi wanatii bila kupinga.
Just know that It takes special trainings to turn a civilian to be a SOLDIER and once a soldier will always be a soldier.
Umenena vyema mkuu
 
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.

Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.

Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.​
Mwanajeshi anaweza kuacha kazi jeshini. Usisubiri mpaka vita itokee ndio uache, hiyo itakuwa uasi.
 
Once I'm soldier always I'm soldier
I was born to be soldier i will die as a soldier
IMG_20220718_142633.jpg
 
Kwa mazingira hayo, wengi tutakuwa tunajiunga kutokana na changamoto za ajira
Kuna kozi ya miezi 6 ya kufutwa Uraia... Hapo ukimaliza kuruta ... Elimu yako inakuchagua kwenda kozi ya Cadet au ubaki Hapo... na mule ndio tunaaamza kutafutwa ... Nilikataaa... Na sitaki... I got plenty of my family lost on this snitching staged espionage ...
 
Hatari sana, kwa hiyo kwa wale walioko vitani na wakazidiwa na kukimbia, kwao inakuwaje?
 
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.

Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.

Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.​

Hili swali kwa kiasi fulani limekaa ki’mbumbumbu, samahi kwa hilo neno nililotumia. Inabidi utambue kila mtu hapa ulimwenguni yupo kwa kusudi flani/maalumu. Na ukijua kusudi lililokuleta hutaogopa hatari yoyote. Kwahiyo unapomuona mwanajeshi wa kweli alieapa kuilinda nchi yake ujue ujeshi wake haukuanzia hapo ulipomuona kuna wengine walionekana tangu wakiwa wadogo kwahiyo si rahisi kuwaza kibinafsi kiasi cha kikimbia vita eti kisa anaogopa kufa na hapa sizungumzii wale wa mchongo.
Labda niende mbele zaidi kwa mawazo hayo ndo maana kuna wanaume wanaukana uanaume wao kisa pesa, hebu tafakari kwenye ishu ya mama kujifungua kuna uwezekano wa mtu kufa lakini kuna mama anatamani kwa hali yoyote abebe ujauzito bila kujali hatari ya kupoteza maisha kwenye kujifungua na sisi akina baba wala hatushiriki kwa lolote pale mama anapojifungua, hiyo tunaita mgawanyo wa majukumu. Ukizaliwa mwanaume pambana kama mwanaume hivyohivyo kwa mwanamke na ukijiona kusudio lililokuleta ni jeshi basi usiogope vita kama ni dereva usiogope ajali na kada nyingine yoyote maana tunajidanganya na kujifariji tu ila ukweli hakuna alie salama hapa duniani. Daaah inatosha nimeandika sana.
 
Kwenye maandiko, kuna mfalme mmoja alimtuma askari wake aende vitani, akiwa na lengo akafie huko, ili aweze kutembea na mkewe
 
Kwanza ujue mwanajeshi si raia ila raia anaweza kuwa mwanajeshi na si kila raia anaweza kufuzu kuwa mwanajeshi. Inachukua mafunzo ya kipekee sana kumbadirisha raia kuwa mwanajeshi. Swali lako umeuliza kiraia ndiomana unashangaa inakuwaje amri inapotoka wanajeshi wanatii bila kupinga.
Just know that It takes special trainings to turn a civilian to be a SOLDIER and once a soldier will always be a soldier.
Sawa soja
 
Back
Top Bottom