Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

And so it be forever. Salute officer🙏🙏🙏
 
Utaishi milele kwani?

Ukitolewa uraia hayo mambo utayaona kawaida tu kama madakatari wanavyoona kawaida majeruhi watu kubondekandeka na kushuhudia mtu kukata roho.
 
Askari akili zao zimefutwa na kupachikwa akili za kijeshi.

Ndio maana wengi hawajali.

Imagine, kuna askari was JW huwa wanaenda kulinda amani Lebanon, Sudan, DRC lakini karibia kila askari huwa anatamani kwenda mpaka nafasi zimekuwa za michongo.
 
Kwa hiyo uko tayari, mtu mwingine apotee, ili wewe uendelee kufurahia maisha?
Kwani aliajiriwa ili afanye nini?
Ashinde kambini tu,na kulewa pamoja na kubeba malaya,matokeo yake afe na UKIMWI?
Fanya kazi uliyoiomba.
 
Utaishi milele kwani?

Ukitolewa uraia hayo mambo utayaona kawaida tu kama madakatari wanavyoona kawaida majeruhi watu kubondekandeka na kushuhudia mtu kukata roho.
Ebu jaribu kuvuta hisia, umepigwa kombora la kichwa
 
Kwani aliajiriwa ili afanye nini?
Ashinde kambini tu,na kulewa pamoja na kubeba malaya,matokeo yake afe na UKIMWI?
Fanya kazi uliyoiomba.
ha ha ha wengine wako kule kutokana na changamoto za ajira
 
Uanajeshi siyo kazi, ni kujitolea kwa ajili ya nchi yako.

Wanajeshi hawaajiriwi kwa ajili ya kuvaa magwanda, wanakuwa wamejiandikisha ili wapiganie maslahi ya watu na Taifa lao, na ikibidi hadi kufia nchi yao.
Marehemu Sokoine aliwahi kusema , wanajeshi wako pale kwa harufu ya damu.
Wito wao si wa mchezo mchezo
 
Askari akili zao zimefutwa na kupachikwa akili za kijeshi.

Ndio maana wengi hawajali.

Imagine, kuna askari was JW huwa wanaenda kulinda amani Lebanon, Sudan, DRC lakini karibia kila askari huwa anatamani kwenda mpaka nafasi zimekuwa za michongo.
Kwa mfano sasa hivi zikitokea nafasi za kwenda Ukraine, wanaweza kuzigombania?
 
Hapo sawa
 
Ndio mana at some point mko well paid, na mna alots of incentives ili muwe motivated sasa mkitaka tena kurudi nyuma kwenye battlefield mnatutisha sisi tunaocheza Vigodoro tukijua walinda mipaka mme devote muda na Nguvu Zenu kutulinda
 
umeandika kwa mafilingi snaa mwamba, ila ndo ukweli wenyewe, Mwanaume hatakiwi kuogopa kufa.
 
inawezekana Ila unasindkizwa na Risas ya kichwa wakati unarud nyumban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…